Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
ππππππ ewaa karibu Shem.. usichelewe.. ukakuta mwana si wako .. maama jamaa yupo serious sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππ ewaa karibu Shem.. usichelewe.. ukakuta mwana si wako .. maama jamaa yupo serious sana
Kwa jinsi ambavyo huwa unajinadi na kujipambanua ni nyu memba tu ndio atakubali Mtani. ππSasa nyie mie hamnipi mbususu mnategemea nitaongea mema juu yenuπ€£π€£π€£π€£π€£
π π π anaogopa sasaSema ndo ivo mbantu Bantu Lady alishawahiwa otherwise body gurd asingechomoka National Anthem
vipi upo single π πHebu changamkeni Jamani tushone sare
Sawa,Haiba: yupo kama bodyguard wa JPM yule black,
Niko single lakin sio kivileπππvipi upo single π π
Chino muulize Ankol National Anthem jana aliniita niende UK ndiyo mchongo huu? πππππSema ndo ivo mbantu Bantu Lady alishawahiwa otherwise body gurd asingechomoka National Anthem
Uje sasa PM ππNiko single lakin sio kivileπππ
π π π π shangazi usihofu banaa.. U.K kama kawaidaaaChino muulize Ankol National Anthem jana aliniita niende UK ndiyo mchongo huu? πππππ
Kila laheri mtaalamu National Anthem ...nakuombea heri ufanikiwe.Mkuu sema tu ni wewe, usije na gia za kumsingizia jamaa
Aya basi bwana kama mie nakosa mbususu ya jf tukose wote.....ubaya u aya tuuπ€£π€£π€£π€£Kwa jinsi ambavyo huwa unajinadi na kujipambanua ni nyu memba tu ndio atakubali Mtani. ππ
Ngoja niwapishe dadazangu kwanza akitokea mwingine nitakuja chapUje sasa PM ππ
πSasa kukamilika na kuwa na mwenza vinahusiana Nini acha kutusagia kunguniπAya basi bwana kama mie nakosa mbususu ya jf tukose wote.....ubaya u aya tuuπ€£π€£π€£π€£
Anyways sasa inkuwaje mwanamke uliye kamilika uje utafute mwenza huku jf? Maana we men can spot a gud woman miles away
Kapachino njoo uone jibu la Ankol, UK kwenda nako dah. Bae hatoniruhusu, unataka niachwe namimi ndiyo nimeshafika kwake.π π π π shangazi usihofu banaa.. U.K kama kawaidaaa
Njoo kwangu basi , na mie nipo single iliyopoaNgoja niwapishe dadazangu kwanza akitokea mwingine nitakuja chap
Unatak niwe MchepukoππNjoo kwangu basi , na mie nipo single iliyopoa
Vinahusiana tuu maana men love a good woman hawa wenye matako makubwa ni genye tuu lakini mwanamke wife material yaani hakai sokoni muda mrefu anawekwa ndani.πSasa kukamilika na kuwa na mwenza vinahusiana Nini acha kutusagia kunguniπ