Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™... Basi usijali utatuka hapo na muhusika hapo.. mie zangu zitabaki dua.. shela livaliwe suti ivaliwe furaha itawale 😊😊
Ariririririririiii unadate suti mapema, utakua best man natumaiπŸ₯°
 
😊😊😊...
hayo ya Mc GharaB naona mtapanga wenyewe.. Si unajua sheria ni mipangilio ya Bibi na Bwana harusi.. nafikiri hata mavazi n.k mtapanga wenyewe sie ni kuja kushuhusia tukioa na kudoganga misosi
Hapo sawa shemπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ngoja nije PM hapo chap
Watoto hawatakiwi kucheleweshwa shule
 
Back
Top Bottom