Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Rafiki ! Kuna vitu tu mtakuwa mmemkosea .. haiwezekani awe na kauli za hivyo bila sababu.. au mzabzab ulitendwa na kupigwa tukio na mafia alie bobea nini humu Jf πŸ˜…πŸ˜…
Huenda rafiki. Ila ngoja aje aseme aisee.

Na pia rafiki ikitokea ana sababu za Msingi nitajitolea kumtaka radhi ili hii chuki aliyonayo iishe. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huenda rafiki. Ila ngoja aje aseme aisee.

Na pia rafiki ikitokea ana sababu za Msingi nitajitolea kumtaka radhi ili hii chuki aliyonayo iishe. πŸ˜‚πŸ˜‚
aisee rafiki ! sidhani kama mzabzab atakuwa na sababu za msingi.. zitakuwa kanyimwaa anavyotaka πŸ˜…πŸ˜….. anasahahu kupewa sio lazima chakupewa sio chako
 
uzuri jamaa mipango yake akishalipa mahala baada ya mwezi ndoa.. hataki biashara za michango michango..
Aiiiiii mambo hayo
Ameshaeka oda ya Mc GharaB lakiniπŸ˜‚πŸ˜‚
Au hayo ntazungumza na muhusika

Carleen ticket ya Dodoma-Dar shingapi
Ntaka nkupandishe ndege first class uje kunionaπŸ˜†πŸ˜†
 
Back
Top Bottom