Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Aiiiiii mambo hayo
Ameshaeka oda ya Mc GharaB lakini😂😂
Au hayo ntazungumza na muhusika

Carleen ticket ya Dodoma-Dar shingapi
Ntaka nkupandishe ndege first class uje kuniona😆😆
😊😊😊...
hayo ya Mc GharaB naona mtapanga wenyewe.. Si unajua sheria ni mipangilio ya Bibi na Bwana harusi.. nafikiri hata mavazi n.k mtapanga wenyewe sie ni kuja kushuhusia tukioa na kudoganga misosi
 
N:B Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu.

Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza ( life partner ). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu..

Sifa zake :
Ajira : Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea
Kipato : Jamaa ana kipato kizuri ( daraja la kati )
Elimu : Ana mawe mawili
Makazi : Dar es Salaam
Imani : Roman Catholic
Haiba: yupo kama bodyguard wa JPM yule black, sio mlevi, hapendi mademu, mpole sana , hatumii fegi.

Sifa za mwanamke:
Naona awe mwanamke yoyote macho ya jamaa yatachuja atapo kutana nae muhusika..
kikubwa awe ni mwanamke .

Asante, kwa mdada ataekuwa tayari anicheki PM nitawaunganisha na jamaa moja kwa moja.
Sifa ninazo zote, nipe hiyo connection chap
 
Nimemaithi kuthikia kithembe chako najuta kupoteza simu yaani unipigiinhata kwa bahati mbaya sikuiz
🥴
1688374379088.png
 
Jioni fresh, tusicheleweshe mambo. Mitaa ya Mcity itapendeza
🙏🙏🙏🙏... Basi usijali utatuka hapo na muhusika hapo.. mie zangu zitabaki dua.. shela livaliwe suti ivaliwe furaha itawale 😊😊
 
Back
Top Bottom