Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

N:B Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu.

Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza ( life partner ). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu..

Sifa zake :
Ajira : Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea
Kipato : Jamaa ana kipato kizuri ( daraja la kati )
Elimu : Ana mawe mawili
Makazi : Dar es Salaam
Imani : Roman Catholic
Haiba: yupo kama bodyguard wa JPM yule black, sio mlevi, hapendi mademu, mpole sana , hatumii fegi.

Sifa za mwanamke:
Naona awe mwanamke yoyote macho ya jamaa yatachuja atapo kutana nae muhusika..
kikubwa awe ni mwanamke .

Asante, kwa mdada ataekuwa tayari anicheki PM nitawaunganisha na jamaa moja kwa moja.
Tumia PESA (short cut) kuwapata. Hutatumia maneno mengi kama hivi
 
Dirham tumeanza itumia mda tu , na tuna honga kwa dirham toka zamani.. Ukiona mtu anashobokea dollar ujue limbukeni badoo . .

na sie wababa hatutaki urafiki ni kupotezeana mda ilhali tunaweza tumia tech kama ya DP World kufanya mambo kwa wepesi.. mitongozo imepitwa na wakati..

Tuna sign deal tunamaliza kazi ... Alafu wa Kona Bar ndio pia wengine wapo JF .

Huna rafiki yako anaependa hela nimuunganishe na jamaaa
Safi sana na ahsante kwa kuyarudia niliyoyasema kimuono wako.

Havuliwi mtu chupi bila ndoa.

Ndoa ndiyo huo mkataba wenyewe.

Mambo kwa Dirham tu.

DP World Hoyee
 
Safi sana na ahsante kwa kuyarudia niliyoyasema kimuono wako.

Havuliwi mtu chupi bila ndoa.

Ndoa ndiyo huo mkataba wenyewe.

Mambo kwa Dirham tu.

DP World Hoyee
Upo sawa kabisaa ...

wanao vuana chupi kabla ya ndoa , wahuni wahuni.. jamaa yangu huo ndio msimano wake wa kwanza, hadi ndoa na vipimo vyote vya afaya ndio wanatoana chupi..

DP World wanaanza kazi lini ?
 
N:B Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu.

Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza ( life partner ). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu..

Sifa zake :
Ajira : Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea
Kipato : Jamaa ana kipato kizuri ( daraja la kati )
Elimu : Ana mawe mawili
Makazi : Dar es Salaam
Imani : Roman Catholic
Haiba: yupo kama bodyguard wa JPM yule black, sio mlevi, hapendi mademu, mpole sana , hatumii fegi.

Sifa za mwanamke:
Naona awe mwanamke yoyote macho ya jamaa yatachuja atapo kutana nae muhusika..
kikubwa awe ni mwanamke .

Asante, kwa mdada ataekuwa tayari anicheki PM nitawaunganisha na jamaa moja kwa moja.
Mshikaji ameweka kigezo sahihi Cha ndoa.

Siyo wale wengine wanahitaji sifa utadhani wanataka kukuajiri.
 
Back
Top Bottom