Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Upo sawa kabisaa ...

wanao vuana chupi kabla ya ndoa , wahuni wahuni.. jamaa yangu huo ndio msimano wake wa kwanza, hadi ndoa na vipimo vyote vya afaya ndio wanatoana chupi..

DP World wanaanza kazi lini ?
Wameshaanza kazi waarabu, hivi wanaweka weka sawa kwanza virendea kazi muhimu. TEHAMA. Hivyo ndiyo muhimu kuliko chochote katika uebdeshaji kazi wa kisasa.

Wanataka wawe na accurate data, kuanzia meli inakotoka mpaka kontena linatoka kwenye himaya yao. Waone data on time na ma camera live. Ili kama kuna wizi uonekane, kama wacheleweshaji ni TRA waonekane, kama wacheleweshaji ni Customs waonekane, kama wacheleweshaji ni security waonekane.

Pale mfumo mbovu sana kuna vitengo kibao vyote havionani na havisomani, wizi mtupu.

Kuna kpontena pale meli hazijafika banadarini zishajkuwa cleared na gate pass zinapata kabisa. Na zikishuka hata kukiwa na foleni fetini, basi hizo ndizo zitaytika kwanza.

Unajuwa za nani?
 
Aaah! nina mtaalamu wangu excerpt wa IT hapa bibie Bantu Lady na mie mtaalamu wa Mechanical Eng.. utupe link tupate mchongo basi .. 😊😊

TEHAMA ni uti wa mgongo wa kila sector.. sie tupo nyuma sana kwenye huo upande na ndio maana tupo slow sana
 
N:B Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu.

Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza ( life partner ). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu..

Sifa zake :
Ajira : Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea
Kipato : Jamaa ana kipato kizuri ( daraja la kati )
Elimu : Ana mawe mawili
Makazi : Dar es Salaam
Imani : Roman Catholic
Haiba: yupo kama bodyguard wa JPM yule black, sio mlevi, hapendi mademu, mpole sana , hatumii fegi.

Sifa za mwanamke:
Naona awe mwanamke yoyote macho ya jamaa yatachuja atapo kutana nae muhusika..
kikubwa awe ni mwanamke .

Asante, kwa mdada ataekuwa tayari anicheki PM nitawaunganisha na jamaa moja kwa moja.
Mwambie asilimu, akate govi, aanze kusali sala tano, nimpe toto la uhakika. Lina sifa njema zote Ma shaa Allah.

Hakuna pm wala nini, anakuja nyumbani anamuona binti mubashar, ana kwa ana, mbele yetu. Hakuna mambo ya kuongea faragha na binti ambae hajamuoa. Aje hata mara mia, sharti ni hilo.

Huo ndiyo uchumba pekee niujuwao mie.

Kabla ya kuja aseme kabisa, kama yeye bikra, tumweke mchumba bikra, kama kishakubuhu huko, tumweke mchumba aliyekwisha kubuhu.

Hakuna longolongo.

Tena tutamfundisha akija aje vipii, watu wa pwani tuna namna zetu.
 
Hili linawezekana kabisa , nimeuonesha hapa comment anasema utupe muongozo wa kufika mahala ambapo tuje ili ntupe utaratibu
 
Back
Top Bottom