Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
NiliACHA KITAMBO MKUUU SASA NI MWAKWAYATako na mbususu haina cha kuokoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NiliACHA KITAMBO MKUUU SASA NI MWAKWAYATako na mbususu haina cha kuokoka
Wameshaanza kazi waarabu, hivi wanaweka weka sawa kwanza virendea kazi muhimu. TEHAMA. Hivyo ndiyo muhimu kuliko chochote katika uebdeshaji kazi wa kisasa.Upo sawa kabisaa ...
wanao vuana chupi kabla ya ndoa , wahuni wahuni.. jamaa yangu huo ndio msimano wake wa kwanza, hadi ndoa na vipimo vyote vya afaya ndio wanatoana chupi..
DP World wanaanza kazi lini ?
Hakuna watu wanakulana kama wanakwaya mamaé 🤣NiliACHA KITAMBO MKUUU SASA NI MWAKWAYA
Kakosaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah! mtaalamu wangu kakosa [emoji28][emoji28]
Aaah! nina mtaalamu wangu excerpt wa IT hapa bibie Bantu Lady na mie mtaalamu wa Mechanical Eng.. utupe link tupate mchongo basi .. 😊😊Wameshaanza kazi waarabu, hivi wanaweka weka sawa kwanza virendea kazi muhimu. TEHAMA. Hivyo ndiyo muhimu kuliko chochote katika uebdeshaji kazi wa kisasa.
Wanataka wawe na accurate data, kuanzia meli inakotoka mpaka kontena linatoka kwenye himaya yao. Waone data on time na ma camera live. Ili kama kuna wizi uonekane, kama wacheleweshaji ni TRA waonekane, kama wacheleweshaji ni Customs waonekane, kama wacheleweshaji ni security waonekane.
Pale mfumo mbovu sana kuna vitengo kibao vyote havionani na havisomani, wizi mtupu.
Kuna kpontena pale meli hazijafika banadarini zishajkuwa cleared na gate pass zinapata kabisa. Na zikishuka hata kukiwa na foleni fetini, basi hizo ndizo zitaytika kwanza.
Unajuwa za nani?
Nataka Mume wa peke yangu nijinafasi kushea siwezi.rafiki yangu atafuta mke, ila na mie nataka nilete cv yangu kwako, mnaruhusiwa kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja 😊😊 niwe mume mdogo
mie basi nijiegeshe kwako 😊😊Kakosaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au muambie ajiegeshee kwa muda tyuuh.
🤭🤭🤭🤭🤭🤫🤫🤫🤫🤫Itoshe tu kusema jamaa aweza kuopoa kitu cha maana humu, ila chupi zivuliwe mapema sana, hili ni angalizo natoa 🤣🤣
😂😂😂😂Hata mi Kuna rafiki yangu anatafuta mke kama kuna mwanamke Yuko tayari anicheki ila itategemeana akiwa mzuri Sana itabidi awe wangu akiwa wa kawaida ntampa jamaa yangu
Mwambie asilimu, akate govi, aanze kusali sala tano, nimpe toto la uhakika. Lina sifa njema zote Ma shaa Allah.N:B Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu.
Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza ( life partner ). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu..
Sifa zake :
Ajira : Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea
Kipato : Jamaa ana kipato kizuri ( daraja la kati )
Elimu : Ana mawe mawili
Makazi : Dar es Salaam
Imani : Roman Catholic
Haiba: yupo kama bodyguard wa JPM yule black, sio mlevi, hapendi mademu, mpole sana , hatumii fegi.
Sifa za mwanamke:
Naona awe mwanamke yoyote macho ya jamaa yatachuja atapo kutana nae muhusika..
kikubwa awe ni mwanamke .
Asante, kwa mdada ataekuwa tayari anicheki PM nitawaunganisha na jamaa moja kwa moja.
acha basi unanitubulia mzeee nitakosa shemeji maana unawatisha kwa mtu ambae hata tisi hapajui... 🤣🤣🤣Tisi mnaanza kujianika.
Nakwambiaga we ni Tisi.
😅😅 kwanini mpendwaaa...Ana moyo wa chuma wifi yetu 😬😁😁
Hili linawezekana kabisa , nimeuonesha hapa comment anasema utupe muongozo wa kufika mahala ambapo tuje ili ntupe utaratibuMwambie asilimu, akate govi, aanze kusali sala tano, nimpe toto la uhakika. Lina sifa njema zote Ma shaa Allah.
Hakuna pm wala nini, anakuja nyumbani anamuona binti mubashar, ana kwa ana, mbele yetu. Hakuna mambo ya kuongea faragha na binti ambae hajamuoa. Aje hata mara mia, sharti ni hilo.
Huo ndiyo uchumba pekee niujuwao mie.
Kabla ya kuja aseme kabisa, kama yeye bikra, tumweke mchumba bikra, kama kishakubuhu huko, tumweke mchumba aliyekwisha kubuhu.
Hakuna longolongo.
Tena tutamfundisha akija aje vipii, watu wa pwani tuna namna zetu.
sie mimi bana 🤭🤭Huyo ni wewe tu
Sasa kama imani tu anataka kukana kisa mwanamke anawezaje kuwa srs na mkeHili linawezekana kabisa , nimeuonesha hapa comment anasema utupe muongozo wa kufika mahala ambapo tuje ili ntupe utaratibu
kuna kukana imani hakuna mahusiano na kuwa weak au storng... Ndio maana inakupasa usome ili upate cheti , lakini pia unaweza usisome ukabaki unapambana kwa njia zingine ...Sasa kama imani tu anataka kukana kisa mwanamke anawezaje kuwa srs na mke