Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

N:B Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu.

Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza (life partner). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu..

Sifa zake :
Ajira : Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea
Kipato : Jamaa ana kipato kizuri (daraja la kati)
Elimu : Ana mawe mawili
Makazi : Dar es Salaam
Imani : Roman Catholic
Haiba: Yupo kama bodyguard wa JPM yule black, sio mlevi, hapendi mademu, mpole sana , hatumii fegi.

Sifa za mwanamke:
Naona awe mwanamke yoyote macho ya jamaa yatachuja atapokutana nae muhusika..
kikubwa awe ni mwanamke .

Asante, kwa mdada ataekuwa tayari anicheki PM nitawaunganisha na jamaa moja kwa moja.
Nipo hapa...nikutumie mtandao upi mzee baba? Airtel,voda, halotel,tigo?na ni shangazi🤤😔
 
Halaf ww tabia ya kutusagia kunguni ntakuroga siku moja
Sasa dnt u think it will be better to direct huko kuroga kwa hao wanaume wanaotaka kuoa wakuoe jamani kuliko kupoteza nguvu kwa mzabzab ambaye hana mbele wala nyuma kama mche wa sabuni
 
Sasa dnt u think it will be better to direct huko kuroga kwa hao wanaume wanaotaka kuoa wakuoe jamani kuliko kupoteza nguvu kwa mzabzab ambaye hana mbele wala nyuma kama mche wa sabuni
Jomba hii kitu naona ni neshino mwenyewe nini anataka kuaga ukapera kiaiana unajua sijaamini...
Ila Sasa kigezo ni yoyote anayepumua ndo uwiii ilipo hapo
 
Back
Top Bottom