Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Mie nimewaponda wapi jamani wakati mie najisema zangu tuu. Sasa nyie kama mnaichukua kuwa serious hiyo ni mitizamo yenu.
Dont have an emotional reaction to things posted on the internet bwana😝
We si unatuponda. Dawa kukushusha mshipa
 
N:B Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu.

Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza (life partner). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu..

Sifa zake :
Ajira : Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea
Kipato : Jamaa ana kipato kizuri (daraja la kati)
Elimu : Ana mawe mawili
Makazi : Dar es Salaam
Imani : Roman Catholic
Haiba: Yupo kama bodyguard wa JPM yule black, sio mlevi, hapendi mademu, mpole sana , hatumii fegi.

Sifa za mwanamke:
Naona awe mwanamke yoyote macho ya jamaa yatachuja atapokutana nae muhusika..
kikubwa awe ni mwanamke .

Asante, kwa mdada ataekuwa tayari anicheki PM nitawaunganisha na jamaa moja kwa moja.
Kijana, muda si mrefu si wewe ndo umetoka kutangaza 'Death warrant' kwa kila unaemnyandua, vp tena unataka utumalizie warembo na maajuza wetu humu pia?
 
Eeeh Yani Kwa udi na uvumba?
My friend ni hii baridi tu ikiisha utakuja futa huu Uzi hahhahaah
vipi rafiki jioni.. karibu hapa tupate hata tangawizi . vipi hujaanza zoezi la kukimbia niwe nakupitia asubuhi 😊
 
Back
Top Bottom