Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Huendda unatoa tip sana...we unanifaa shemu...vichenji chenji 🤣...mje aise
😅😅 uzuri wahudumu wakikupenda .. utapewa huduma nzuri sana.. kila mahala huwa nikienda huwa natafita good uhusiano na wahudumu wawili watatu.. huwa nakuwa napata vyote navyotaka ... usijali leo mda si mrefu tunaingia hapo kwako kaa mkaao wenyewe
 
Back
Top Bottom