Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Marahaba mjukuu wangu.

Mimi nipo ni hekaheka za maisha tu zimenizidia.

Natumaini kuwa hata kwako huko kila kitu kiko sawa.

Barikiwa sana mjukuu wangu mpole usiye na makuu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ah pole sana babu ..

Huku tunamshukuru Mungu , kikubwa uhai ... Super grateful .

Be blessed too .

Mpole kwenye maandishi tu
 
Back
Top Bottom