Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Hongera kwa kupata ujasiri wa kufanya biashara, lakini hilo la kuwa na boyfriend/girlfriend huwa linawafanya wengi ku-lay low, na nilihisi namna hiyo.
Lakini Mimi mbona nilipoa hata kabla ya mahusiano[emoji23][emoji23][emoji23]

Sema ukorofi kwa kiasi kikubwa nimepunguza ili kumlindia mwenzangu heshima aliyonayo.
 
Lakini Mimi mbona nilipoa hata kabla ya mahusiano[emoji23][emoji23][emoji23]

Sema ukorofi kwa kiasi kikubwa nimepunguza ili kumlindia mwenzangu heshima aliyonayo.
Just be you, unless mmekubaliana! Ngumu sana kuishi tofauti na uhalisia wako. Mbona wengine tunaonekana na hakuna tatizo...
 
Just be you, unless mmekubaliana! Ngumu sana kuishi tofauti na uhalisia wako. Mbona wengine tunaonekana na hakuna tatizo...
Ugomvi niliacha kitambo sana hata kabla sijawa na mahusiano humu.,ni kwamba tu Kuna baadhi ya scenarios zilinibadilisha sana
I can't pretend ,nipo vilevile.

Kuhusu kupotea ni ubusy
Majukumu ya familia, biashara na kazi.,ko najikuta nachoka sana.
 
Safi sana Anne!! Mpunga lini sasa[emoji16]
 
Tushakula kitambo
Si ndio familia hiyo nalea ndoa imeshazaa matunda😂

Unaenda hizi stori 🤣
Kwahiyo uliyoona kimya ,moja kwa moja ukaanza kuniwazia ujinga 😂
Kwa hiyo jf imeleta kitu eeenh, hongereni sana aisee, sasa nisipende hizi stori nipende DP World kweli?😀😀
 
Kwa hiyo jf imeleta kitu eeenh, hongereni sana aisee, sasa nisipende hizi stori nipende DP World kweli?[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jf imeleta Kajunia

Mbona humuulizii shemegi?[emoji23]
Au ndio swali linalofuata?

Acha wapemba watunyooshe,
Alitokea mzalendo wa kweli kuwapigania wanyonge hadi akapoteza maisha,watu wakasema wao si wanyonge na wakafurahia kifo chake.
 
Kumbe hadi Jr kaja, hii process imeenda faster sana😁😁😁 hongereni sana!
 
Hata mi Kuna rafiki yangu anatafuta mke kama kuna mwanamke Yuko tayari anicheki ila itategemeana akiwa mzuri Sana itabidi awe wangu akiwa wa kawaida ntampa jamaa yangu
Oyaaa nimecheka kikouma 🤣🤣🤣
 
Mkuu msichoke kupeana connection hata connection ya mke au Mume muhimu Mimi mwenyewe Nina rafiki Jamaa very humble and Focus Sasa Kama huyo akipata Mwanamke kutoka JF naamini ntakuwa nimetoa connection ya muhimu kwa ndugu zangu wa JF.
 
Back
Top Bottom