Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

N:B Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu.

Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza (life partner). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu..

Sifa zake :
Ajira : Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea
Kipato : Jamaa ana kipato kizuri (daraja la kati)
Elimu : Ana mawe mawili
Makazi : Dar es Salaam
Imani : Roman Catholic
Haiba: Yupo kama bodyguard wa JPM yule black, sio mlevi, hapendi mademu, mpole sana , hatumii fegi.

Sifa za mwanamke:
Naona awe mwanamke yoyote macho ya jamaa yatachuja atapokutana nae muhusika..
kikubwa awe ni mwanamke .

Asante, kwa mdada ataekuwa tayari anicheki PM nitawaunganisha na jamaa moja kwa moja.
Hujatosheka kuwala dada zangu wa jf?

Haya peleka moto kijana
 
Imekuwaje ukawa msomaji ghalfa tu Anne? Ngoja kwanza.....[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeolewa
Kwahiyo nimeacha fujo,Mume wangu yupo humu.

Halafu pia nafanya biashara humu.
Siwezi gombana na watu ambao pengine nj wateja wangu.
 
N:B Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu.

Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza (life partner). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu..

Sifa zake :
Ajira : Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea
Kipato : Jamaa ana kipato kizuri (daraja la kati)
Elimu : Ana mawe mawili
Makazi : Dar es Salaam
Imani : Roman Catholic
Haiba: Yupo kama bodyguard wa JPM yule black, sio mlevi, hapendi mademu, mpole sana , hatumii fegi.

Sifa za mwanamke:
Naona awe mwanamke yoyote macho ya jamaa yatachuja atapokutana nae muhusika..
kikubwa awe ni mwanamke .

Asante, kwa mdada ataekuwa tayari anicheki PM nitawaunganisha na jamaa moja kwa moja.
Kwenye uzi wa warembo hujapata?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeolewa
Kwahiyo nimeacha fujo,Mume wangu yupo humu.

Halafu pia nafanya biashara humu.
Siwezi gombana na watu ambao pengine nj wateja wangu.
Hongera kwa kupata ujasiri wa kufanya biashara, lakini hilo la kuwa na boyfriend/girlfriend huwa linawafanya wengi ku-lay low, na nilihisi namna hiyo.
 
N:B Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu.

Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza (life partner). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu..

Sifa zake :
Ajira : Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea
Kipato : Jamaa ana kipato kizuri (daraja la kati)
Elimu : Ana mawe mawili
Makazi : Dar es Salaam
Imani : Roman Catholic
Haiba: Yupo kama bodyguard wa JPM yule black, sio mlevi, hapendi mademu, mpole sana , hatumii fegi.

Sifa za mwanamke:
Naona awe mwanamke yoyote macho ya jamaa yatachuja atapokutana nae muhusika..
kikubwa awe ni mwanamke .

Asante, kwa mdada ataekuwa tayari anicheki PM nitawaunganisha na jamaa moja kwa moja.
katika hatua zote hizo atakuwa anaM,LA au anamwangalia tu
 
Back
Top Bottom