Anataka Kuachana na Ualimu kwa ajili ya Kazi hii

KotelaMamba

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2020
Posts
701
Reaction score
1,241
Wasalaam. Nina mdogo wangu hapa, ni mwajiriwa wa Serikali mwalimu sekondari kazi aliyoifanya karibia miaka 6 na juzi kapanda hadi daraja.

Aliomba kazi UKaid na wamemwita kwenye interview mshahara ni 1m+, kwenye ualimu bado hajafikia hiyo pesa.

Unamshauri nini? Aachane na hii ya serikali?
 
Wasalaam. Nina mdogo wangu hapa, ni mwajiriwa wa Serikali mwalimu sekondari kazi aliyoifanya karibia miaka 6, na juzi kapanda hadi daraja.

Hiyo kazi ni ya mkataba Wa muda gani?? Pia akafanye usaili kwanza maana kuitwa kushiriki interview ni hatua moja ila kufaulu ni hatua nyingine
 
Hapo mkuu, nashauri yeye mwenyewe ndio apime achukue uamuzi at her/his own risk, kwani !! Kwani mara nyingi hizo za kwenye mashirika/Ngo's huwa za mikataba, na ukiacha kazi serikalini siku hizi kurudi tena ni inshu kubwa sana!! Ni suala la kupima tu na kuamua.
 
Wasalaam. Nina mdogo wangu hapa, ni mwajiriwa wa Serikali mwalimu sekondari kazi aliyoifanya karibia miaka 6, na juzi kapanda hadi daraja.

Aliomba kazi UKaid na wamemwita kwenye interview mshahara ni 1m+, kwenye ualimu bado hajafikia hiyo pesa.

Unamshauri nini? Aachane na hii ya serikali?
Kwann unamsingizia mdogo wako?
 
Nenda kwenye interview ukifanikiwa huko Ukaid andika barua ya kuomba likizo isiyo na malipo maana kazi nyingi za Ngos huwa ni za mkataba zaidi ukiisha urudi serikalini
 
Hiyo kazi ni ya mkataba Wa muda gani?? Pia akafanye usaili kwanza maana kuitwa kushiriki interview ni hatua moja ila kufaulu ni hatua nyingine
Ni fixed term kwa miaka miwili miwili.
 
Nenda kwenye interview ukifanikiwa huko Ukaid andika barua ya kuomba likizo isiyo na malipo maana kazi nyingi za Ngos huwa ni za mkataba zaidi ukiisha urudi serikalini
hizo likizo hazipo tena serikalini.
 
Hilo halihitaji ushauri.
Aende huko akapate exposure.
Kipato kitakua
Akili itakua.
Msimtishe, mpeni moyo aende huko aijue dunia.
Kazi ya ualimu unakuwa na mabosi karibu kumi, ifanywe na watu waliokosa connection tu.
Very st di ty job in Africa
 
Sure! Ndiyo nilichomshauri hapo awali!!
Watu wa serikalini huwa wanawaza tu pensheni muda wote.
 
Hiyo kazi ni ya mkataba Wa muda gani?? Pia akafanye usaili kwanza maana kuitwa kushiriki interview ni hatua moja ila kufaulu ni hatua nyingine
Uwezekano wa kutoboa Interview ni mkubwa sana, kwa namna alivyoomba hiyo kazi. Na haikuwa na matangazo zaidi ya ndani ya ofisi hizo
 
Back
Top Bottom