Anataka Kuachana na Ualimu kwa ajili ya Kazi hii

Anataka Kuachana na Ualimu kwa ajili ya Kazi hii

Hiyo hela ni ndogo sana kuliko risk anayotaka kutake, angalau ingekuwa million 3 per month, ila eti chini ya million 2, Hapana abaki na ualimu wake
 
Amfuate mkuu wake..amueleze abcd
wafanye mapatano ya siri.
Amuahidi kwamba atakuwa anamchana laki kila mwezi.
(kazi ikipatikana)..

mkuu atampa ruhusa kwamba anauguza mtoto/mke/mzazi au hata yeye siku14.

Yeye akaanze kazi mpya..14 days zikiisha mkuu anaongeza tena juu kwa juu.

Wakt huohuo achukue laki moja apeleke kwa ps 'mwerewa' masjala au ps wa DRHO..Ili umuingze kwny mpango wa majina ya wanaoenda kusoma 2021/22.

Release letters hutoka kuanzia mwezi wa tisa.
kazi imeisha.

Note:
bila kujiongeza atasubiri sana bongo hii.na tatzo la walimu ni wazito kweli.

Usione watu wanatokea kwny mikeka ya teuzi ukafikiri inatokea kwa bahati no no

Watu wanatoa hela, wanajipendekeza, wanashona trakasut na kukesha kwny mwenge, wanapeleka mbuzi nk

Kazi hyo utaenda fanya,
na huku shule mshahara utaendelea kufuloo mpaka mkataba utaisha
 
key:
ps mwerewa ni mhudumu wa mafaili aliyechangamka.huwa hawakosekani.
DRHO-Afisa raslimali watu.mkuu wa idara ya utawala halmashaur
 
kama amepanda daraja na anataka kuacha ualimu Hugo ljamaa ni mwendawazimu.


hata Mimi nimepanda, heslb na nmb wanakata lakin sipungukiwi 400 ya kuprleka home.

natumia masaa 7 kwenye grocery yangu inayonilipa 5000 kwa siku kama faida huku saluni ikiniingizia buku 3 daily!!


quiet for your own risks
 
Hiyo hela ni ndogo sana kuliko risk anayotaka kutake, angalau ingekuwa million 3 per month, ila eti chini ya million 2, Hapana abaki na ualimu wake
Mnapenda Ualimu sana eeh.
Hii ni weakest carrier
 
Akipata kazi huko UKAID aachane na ualimu sabbau hata mkataba ukiisha na wakigoma kumsainisha atakuwa amejenga CV nzuri Sana ambayo itakuwezesha kupata NGO nyingine au hata kupata mwanga wa kuanzisha na kuendesha yako.
Hakuna risk kuacha ualimu kama unajenga CV yako ukiwa kwenye NGO kubwa kama hiyo.
 
Abaki na kazi ya serikali, ina uhakika, hata kama serikali ikianguka kazi ipo palepale, taifa litakulinda.
 
Hakuna anayependa ualimu mkuu.
Ila kabla hujakurupuka kufanya jambo lolote anza kufanya benefits analysis hii itakusaidia kutoangukia pua mbeleni
dogo keshaanza kazi huko. wanampa allowance za kutosha
 
Akafanye usaili kwanza ili kupata majibu baada ya hapo ndiyo achague kubaki upande gani na pia asome mkataba wa upande wa pili unasemaje.
 
Ukishaanza kufanya kazi kwenye NGO's za kutoka nje ya nchi, hata ukimaliza mkataba leo hii, unaweza kupata kazi kwenye Organization nyingine kirahisi kabisa, kwasababu ya experience uliyonayo ktk hayo mashirika
 
Back
Top Bottom