KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 701
- 1,241
Hiyo kazi ni ya mkataba Wa muda gani?? Pia akafanye usaili kwanza maana kuitwa kushiriki interview ni hatua moja ila kufaulu ni hatua nyingineWasalaam. Nina mdogo wangu hapa, ni mwajiriwa wa Serikali mwalimu sekondari kazi aliyoifanya karibia miaka 6, na juzi kapanda hadi daraja.
Aliomba kazi UKaid na wamemwita kwenye interview mshahara ni 1m+, kwenye ualimu bado hajafikia hiyo pesa.
Unamshauri nini? Aachane na hii ya serikali?
Hapo mkuu, nashauri yeye mwenyewe ndio apime achukue uamuzi at her/his own risk, kwani !! Kwani mara nyingi hizo za kwenye mashirika/Ngo's huwa za mikataba, na ukiacha kazi serikalini siku hizi kurudi tena ni inshu kubwa sana!! Ni suala la kupima tu na kuamua.Wasalaam. Nina mdogo wangu hapa, ni mwajiriwa wa Serikali mwalimu sekondari kazi aliyoifanya karibia miaka 6, na juzi kapanda hadi daraja.
Aliomba kazi UKaid na wamemwita kwenye interview mshahara ni 1m+, kwenye ualimu bado hajafikia hiyo pesa.
Unamshauri nini? Aachane na hii ya serikali?
Kwann unamsingizia mdogo wako?Wasalaam. Nina mdogo wangu hapa, ni mwajiriwa wa Serikali mwalimu sekondari kazi aliyoifanya karibia miaka 6, na juzi kapanda hadi daraja.
Aliomba kazi UKaid na wamemwita kwenye interview mshahara ni 1m+, kwenye ualimu bado hajafikia hiyo pesa.
Unamshauri nini? Aachane na hii ya serikali?
Ni fixed term kwa miaka miwili miwili.Hiyo kazi ni ya mkataba Wa muda gani?? Pia akafanye usaili kwanza maana kuitwa kushiriki interview ni hatua moja ila kufaulu ni hatua nyingine
😂😂😂 ulitaka niseme ni mimi?? Ni binti jombaaKwann unamsingizia mdogo wako?
hizo likizo hazipo tena serikalini.Nenda kwenye interview ukifanikiwa huko Ukaid andika barua ya kuomba likizo isiyo na malipo maana kazi nyingi za Ngos huwa ni za mkataba zaidi ukiisha urudi serikalini
Wakike.Ni WA kiume au wa kike?
Why hazipo tenahizo likizo hazipo tena serikalini.
Nitumie no yake pm nimsaidieWakike.
Huwezi kuomba likizo bila malipo kwa ualimu tena two years. Ukafanye kazi sehemu nyingine. Ila sijui vyema!!Why hazipo tena
Upo kwnye mawazo yangu, ninamtumia hii link asome maoni ya wadau hapa.Akipata hiyo kazi aache kazi ya ualimu, hayo mambo ya sijui ukitoka serikalini kurudi ni ngumu ndio unaishia kuzeeka masikini !
Umsaidie nini sasa?Nitumie no yake pm nimsaidie
Sure! Ndiyo nilichomshauri hapo awali!!Hilo halihitaji ushauri.
Aende huko akapate exposure.
Kipato kitakua
Akili itakua.
Msimtishe, mpeni moyo aende huko aijue dunia.
Kazi ya ualimu unakuwa na mabosi karibu kumi, ifanywe na watu waliokosa connection tu.
Very st di ty job in Africa
Kubali wito Kataa ombi...hujajua namsaidia niniUmsaidie nini sasa?
Wewe toa ushauri wako.
Uwezekano wa kutoboa Interview ni mkubwa sana, kwa namna alivyoomba hiyo kazi. Na haikuwa na matangazo zaidi ya ndani ya ofisi hizoHiyo kazi ni ya mkataba Wa muda gani?? Pia akafanye usaili kwanza maana kuitwa kushiriki interview ni hatua moja ila kufaulu ni hatua nyingine