Anataka kuhama sua kisa vyoo vya hostel

Anataka kuhama sua kisa vyoo vya hostel

ntajitahdi kumuelekeza afanye hvyo akianguka matibab yataanza tena

Kama mzito asifanye hivyo mm nimezoea kupanda juu na kuchuchumaa maana mambo ya vyoo vya kukaa tena hostel a lot of people kuna kuambukizana si nikaamua nafuta vizuri napanfa juu mambo kama kawa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ni toka aliporipoti tarehe 8 kijana amekuwa akilalamika sana kuhusu vyoo anadai atapata maradhi anaomb ushaur afanye nin na hiv kwa kipind hiki hakuna maji kabisa je hvyo vyo vya kukaa walifikilia nin kuweka new hostel"

Muulize what is the sole reason why he is there....kama ni kwa sababu ya vyoo then ahame chuo.
 
inaonekana ni mtoto wa kishua, apange selfcontained
 
Je umepata majibu? Nimeamini ya kwamba hawa watoto wa kishua wanapata matatizo pale inapobidi wajichanganye na kina Kayumba. Ikiwa kana kujisaidia haja kubwa ni kikwazo, je akianza kazi huko vijijini, ambapo hamna umeme, maji, usafiri, vyoo (watu wanajisaidia vichakani) n.k itakuwaje? Furaha ya tajiri ni ya muda ikiwa kama amezungukwa na maskini.
 
Back
Top Bottom