Anataka kuja kwangu wakati sina hata godoro nalala chini, kwake nilikwenda nikakuta ana maisha mazuri

Anataka kuja kwangu wakati sina hata godoro nalala chini, kwake nilikwenda nikakuta ana maisha mazuri

Mbona simple tu , mpigie simu mwambie ukweli kuwa wewe ndo unaanza maisha na bado hujajipanga.

Wanawake Wanapenda sana kuambiwa ukweli at sometime...
Wacha akujee broo akinielewa fresh akienda sawa atakuwa kashiliwaa nimeweka historia nilimla
 
Back
Top Bottom