Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 671
- 1,644
Leta feedback
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uoga simbilisi wewe.Hatari tumepanga mpaka kwanza tupime ngoma ndio nikule mzigo
Weeeh kumbe katoto hivi🙆🙆Daaah 😂 😂 😂
Kuna watu ni wakorofi sana hasa wewe hapo l..
Mi sio totoo mi ni above 20 aiseee 😂😂😂😂🙌🙌
Sikujua kuwa unaWeeeh kumbe katoto hivi🙆🙆
🤣🤣🤣🤣Sikujua kuwa una
1-Dharau
2-Manyanyaso na
3-Masimango
😂😂🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌 Mi siwezi
Siwezi vumilia kunifanyia hayo mambo...😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Huwezi nini sasa?
Tulia totoo.Siwezi vumilia kunifanyia hayo mambo...😂😂😂
Hvo ukiendelea hivi jua BAN itakuhusu
Duuh 🙌🙌🙌🙌🙌Tulia totoo.
Na ke wa kenye walivyo na madhereuNdio
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huku Malindi,Kenya kujitafuta.
Sasa, kinachonileta kwenu ni hivi: Kuna mwanamke (maana ni mwanamke ako na 35 years) tulikutana kwa app inaitwa "tagged" sasa tukaongeaa mengi kama wiki kadhaa nyuma ila ikawa ngumu kuonana, unajua kazi tena.
Sasa leo nimepata time nzuri nikaenda kwake kwa mara ya kwanza tukaonana live. Sasa, kiukweli kajipanga ako vizuri kimaisha; yaani mimi labda naingia mara hata 10 hivi.
Tukaongea, mimi nikaamua kusepa. Sasa kasema kesho anakuja kwangu na mimi hata godoro ni kale kadogoo, nalala chini, sijajipata poa.
Sasa, jee kesho ajeee au nimpotezeee atakuja kunidharau? Nishaurini wazee wa JF
[emoji23]Hata sisi hatujui tufanyeje labla mpigie simu mwambie umekufa ili asije
Acha umalaya dogo.Hapo sasa umeongea point nzuri poa kaka
Hii imeendaaHata sisi hatujui tufanyeje labla mpigie simu mwambie umekufa ili asije
Kivipi mkuu? Kuna wanawake wamechezewa,na wanatamani mtu wa kusupport,mkweli,si wa kuazima geto. Kikubwa asiwe amejimwambafai. Na kama kumruhusu,kwanza amwambie uhalisia wa maisha yake. Kwani kususwa kisa huna kitu,si kawaida tuuuu!!😃😃😃 hii ni chai iliyochanganywa na alikasusu walah.
PriorHakikisha umepita naye na kafurahia game ndio umkaribishe, lasivyo kuna mawili hapo kuachwa au kukwambia ana dharura