Anataka kumuacha mume wake wa ndoa ya miaka saba sababu si mzuri kitandani ili arudiane na ex wake

Kataa ndoa katika moja na mbili za kukikuza chama chake.
 
Wewe umemshauri nini na kichwa chako kidogo kama konzi?
 
Amlipe garama zake zote aondoke. Huyo ni adui mkubwa sio mke. Watoto watatu wa baba mwingine majukumu na mzigo wa kuwalea na mama mkwe kabebeshwa jamaa. So sad kwa kweli ndio maana watu wanauana kwenye ndoa
No wonder watu wanajua ukatili mpaka tunaulizana mbona binadamu wamegeuka kuwa wanyama? Huyu mwamba akija kustuka itakuwa hatari sana, huyu binti hajafanya sawa!
 
Ukiwa msela atapewa wa hela,,,,
Ukiwa na hela atapewa msela,.
 
Ndo maana mimi na Melancholic tunakua wachungu kuwapa hela wadada sababu ya uboya kama huu
 
Amtafutie mume wake vumbi la Congo
 
Ndo maana mimi na Melancholic tunakua wachungu kuwapa hela wadada sababu ya uboya kama huu
Haya tunayasema humu kila siku yani hata siku moja usijindanganye kumfurahisha mwanamke, bro mwanamke aridhiki wacha sisi tuendelee kuzichanga shilingi furaha kubwa duniani ni kumiliki pesa tu.
 
hivi kwann ulaya wanasalitiwa sana lakini hawauani may be shida ni umasikini wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…