Anataka kumuacha mume wake wa ndoa ya miaka saba sababu si mzuri kitandani ili arudiane na ex wake

Huyo mwanamke yupo njia panda sababu ya tamaa zake.... huwezi panda farasi wawili! Mwanamke mbaya sana na katili huyo... sipati picha siku jamaa akijua ushenzi wake huo!!! Kweli wanaume tuna kazi
 
Mwambie mpaka kufikia hapo, Atakufa muda wowote kuanzia Sasa.
 
KwannπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kamsaliti Kwa muda mrefu, kazalishwa watoto wote watatu wasio wa Mumewe, Mume wake amemtunza muda wote huo yeye na watoto ,kawekeza muda na Mali zake.

Hivo Kwa Vyovyote vile, avunje ndoa Γ u asivunje, Vyovyote vile iwavyo, iwe Ndani ya ndoa au nje kwakua hamna Siri Duniani, siku Mumewe akijua LAZIMA ATAMUUA.

zingatia neno LAZIMA AMUUE.
 
Labda huenda anasababu nyingine pia hayo madhaifu ya mume wake wa ndoa ni ya kibinadamu hivyo yanarekebishika wakati anafunga naye ndoa hakuyajua hayo
 
Sio rahisi🀣🀣waachane tuu kwa amani
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kwani hujui mimi na mdogo wangu Lamomy ni wazaramo?unyagoni tumefundishwa kuhusu mafiga matatu
Atukome hayuko peke yake, bila mafiga matatu chungu hakikai motoni 😹😹🀣

Raha ya kubeba ndoo na kidumu kiwe mkononi..! 🀣
 
Hakumpa majukumu mkewe.

Sisi tunaotumia kamnyweso ndoa sio tatizo sana maana tunampa mke majukumu. Sasa mke hana changamoto ndoani lazima azitafute.

Hao viumbe hawapendi amani, ukiwapa amani unawaharibu basi watajitafutia shari kwa namna yoyote.
 
Sasa hapo anataka ushauri gani?

Alafu mbwa kama huyo akija kukatwa katwa mapanga wanaharakati uchwara waje kupiga kelele za ukatiri wa kijinsia.
Anacho kitafuta atakipata muda sio mrefu.
Nyie wanaume huwa hamgawi nje?
Punguza hasira!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…