Anataka kumuacha mume wake wa ndoa ya miaka saba sababu si mzuri kitandani ili arudiane na ex wake

Aache Upumbavu,huyo mumewe ni mfariji mkubwa na ni Chanzo Cha mafanikio yake mtu hata Ishi kwa mbupu tuu!
 
Anakitaka nini bwana huo ni uhuni unakulaje vya watu na wakati humpendi.
Wee mbona huli hela zangu
Si alikua mke kabisa, kula vya mumewe ilikua halali yake ila sasa kaona hawezi endelea kula vya mtu asiemtaka tena.
 
Basi sawa, kupanga ni kuchagua
 
Aende kwa ex wake aliyemzalia watoto kisha amwambie ukweli mumewe
Duh mtihani huo ubaya ni wa kwamba wale watoto wala hata Huwezi kudhani ni wa nje black kama huyo mume wa mama yao warefu pia kama mshua wao Ata kustuka n ngumu
 
Mbona ata nyie wanaume mnagawaga nje mkishatuoa
Dada yupo sahihi sina cha kumshauri
Muwe na ninyi mnatuhudumia na mama zetu muwalipie kodi halafu usikie nimerudiana na x na kumzalisha watoto watatu na nawatunza kwa hela zako.
Punguani mmoja wee.
 
Duh mtihani huo ubaya ni wa kwamba wale watoto wala hata Huwezi kudhani ni wa nje black kama huyo mume wa mama yao warefu pia kama mshua wao Ata kustuka n ngumu
Aendelee kubeba dhambi lkn ajue Pana siku Roho Mtakatifu ataweka siri zote wazi ndo ataelewa maana ya single mama ni nini.
Ma ex huwa wapo kwa ajili ya kuvunja ndoa wanawake huwa hawaelewi hili.
Wakipigwa chini na ma ex ula kona
 
Amwache aende zake Tena haraka sana.

Funzo: Usitafute mchumba akiwa kwenye matatizo .
 
mwambie akachungulie kaburi kwanza
 
Mambo kama hayo huwa tunayaona Tu kwenye fictional movies, ila kwenye maisha halisi hakuna kitu kama hicho mleta mada anatuzuga Tu.

Hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayeweza kudhubutu mwanaume anayemhudumia kila kitu eti arudiane na ex kwa sababu ya tendo.

Hivi watu huwa hamjui kwamba kuna maisha mengine baada ya hilo tendo la ndoa?
 
Huyo mwanamke ni malaya tu. Shida sana kuoa wanawake wenye njaa njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…