Ata kibamia kinavumika au sio.Pesa kwanza mengine badae.
Njoo basi nina mil 243 i wish to bequeath some of tht money to u once i die in two years time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata kibamia kinavumika au sio.Pesa kwanza mengine badae.
Anakitaka nini bwana huo ni uhuni unakulaje vya watu na wakati humpendi.Mmuache bwana yeye ndio anajua nini anakitaka.

Aache Upumbavu,huyo mumewe ni mfariji mkubwa na ni Chanzo Cha mafanikio yake mtu hata Ishi kwa mbupu tuu!Dada wa watu anaomba ushauri
Mwanadada na jamaa walikutana miaka saba iliyopita kwenye msiba wa baba yake mwanadada, alikuwa na maisha magumu sana Baada ya baba yake kufariki "jamaa akachukua yale majukumu provide all basic needs"
basi jamaa akawa mfariji wake sana binti hadi wakapendana
Jamaa alimuoa binti Baada ya msiba wa baba ake miezi 6 baadae
Kahikikisha hadi bidada kamaliza elimu yake kapata kazi ya kudumu(nursing)
Miaka yote hiyo saba anamlipia mama ake mzazi mwanadada kodi(anaishi mahala pazuri) na matumizi mengine
Picha linaanza demu mwaka mmoja Baada ya kufunga ndoa na jamaa alirudiana na bwana wake wa kwanza (ex) wa secondary highschool
Jamaa amemzalisha watoto wa Tatu ndani ya ndoa bila Mume kujua
Sasa picha linakuja mwanadada haridhiki kwenye tendo kwa mume
Anasema hisia zake kwa. MUMEWE zimekufa anataka avunje ndoa arudi kwa ex wake anamridhisha sana Kitendo na anampenda sana Ila kwa upande mwingine bado huduma za MUMEWE anazitaka!
Je Una mshauri ni mwanadada Huyu!
Si alikua mke kabisa, kula vya mumewe ilikua halali yake ila sasa kaona hawezi endelea kula vya mtu asiemtaka tena.Anakitaka nini bwana huo ni uhuni unakulaje vya watu na wakati humpendi.
Wee mbona huli hela zangu
I wonder ule msemo wa mwanadamu yupo busy kutafuta asichonachoAache Upumbavu,huyo mumewe ni mfariji mkubwa na ni Chanzo Cha mafanikio yake mtu hata Ishi kwa mbupu tuu!
Ila atambue haramu haidumu.Aendelee kugawa utamu kwa wote wawili
Huyu kwa ajili ya upendo na kuzaa
Mwingine kama punda wa dobi ili kutimiza gharama za maisha.
Wakipata matunzo sahihi, hawazeeki
Basi sawa, kupanga ni kuchaguaDada wa watu anaomba ushauri
Mwanadada na jamaa walikutana miaka saba iliyopita kwenye msiba wa baba yake mwanadada, alikuwa na maisha magumu sana Baada ya baba yake kufariki "jamaa akachukua yale majukumu provide all basic needs"
basi jamaa akawa mfariji wake sana binti hadi wakapendana
Jamaa alimuoa binti Baada ya msiba wa baba ake miezi 6 baadae
Kahikikisha hadi bidada kamaliza elimu yake kapata kazi ya kudumu(nursing)
Miaka yote hiyo saba anamlipia mama ake mzazi mwanadada kodi(anaishi mahala pazuri) na matumizi mengine
Picha linaanza demu mwaka mmoja Baada ya kufunga ndoa na jamaa alirudiana na bwana wake wa kwanza (ex) wa secondary highschool
Jamaa amemzalisha watoto wa Tatu ndani ya ndoa bila Mume kujua
Sasa picha linakuja mwanadada haridhiki kwenye tendo kwa mume
Anasema hisia zake kwa. MUMEWE zimekufa anataka avunje ndoa arudi kwa ex wake anamridhisha sana Kitendo na anampenda sana Ila kwa upande mwingine bado huduma za MUMEWE anazitaka!
Je Una mshauri ni mwanadada Huyu!
Duh mtihani huo ubaya ni wa kwamba wale watoto wala hata Huwezi kudhani ni wa nje black kama huyo mume wa mama yao warefu pia kama mshua wao Ata kustuka n ngumuAende kwa ex wake aliyemzalia watoto kisha amwambie ukweli mumewe
Mkuu ndio uniite ChasambiHaswaaa ..umemaliza kabisa mkubwa Chasambi!umalaya ni janga...watu wanajifichia kwenye kichaka cha nguvu za kiume sijui kibamia!!!
Muwe na ninyi mnatuhudumia na mama zetu muwalipie kodi halafu usikie nimerudiana na x na kumzalisha watoto watatu na nawatunza kwa hela zako.Mbona ata nyie wanaume mnagawaga nje mkishatuoa
Dada yupo sahihi sina cha kumshauri
Aendelee kubeba dhambi lkn ajue Pana siku Roho Mtakatifu ataweka siri zote wazi ndo ataelewa maana ya single mama ni nini.Duh mtihani huo ubaya ni wa kwamba wale watoto wala hata Huwezi kudhani ni wa nje black kama huyo mume wa mama yao warefu pia kama mshua wao Ata kustuka n ngumu
mwambie akachungulie kaburi kwanzaDada wa watu anaomba ushauri
Mwanadada na jamaa walikutana miaka saba iliyopita kwenye msiba wa baba yake mwanadada, alikuwa na maisha magumu sana Baada ya baba yake kufariki "jamaa akachukua yale majukumu provide all basic needs"
basi jamaa akawa mfariji wake sana binti hadi wakapendana
Jamaa alimuoa binti Baada ya msiba wa baba ake miezi 6 baadae
Kahikikisha hadi bidada kamaliza elimu yake kapata kazi ya kudumu(nursing)
Miaka yote hiyo saba anamlipia mama ake mzazi mwanadada kodi(anaishi mahala pazuri) na matumizi mengine
Picha linaanza demu mwaka mmoja Baada ya kufunga ndoa na jamaa alirudiana na bwana wake wa kwanza (ex) wa secondary highschool
Jamaa amemzalisha watoto wa Tatu ndani ya ndoa bila Mume kujua
Sasa picha linakuja mwanadada haridhiki kwenye tendo kwa mume
Anasema hisia zake kwa. MUMEWE zimekufa anataka avunje ndoa arudi kwa ex wake anamridhisha sana Kitendo na anampenda sana Ila kwa upande mwingine bado huduma za MUMEWE anazitaka!
Je Una mshauri ni mwanadada Huyu!
Huyo dada anayeongelewa hapo inaonekana kabisa ndio wewe (Joke)Mbona ata nyie wanaume mnagawaga nje mkishatuoa
Dada yupo sahihi sina cha kumshauri
Huyo mwanamke ni malaya tu. Shida sana kuoa wanawake wenye njaa njaa.Dada wa watu anaomba ushauri