Anataka kumuacha mume wake wa ndoa ya miaka saba sababu si mzuri kitandani ili arudiane na ex wake

Tembea uone bwana mkubwa wakinamama walipokuwa wanasema kwenye watoto watano juu wawili au mmoja sio wa kwako mimi nilikua najuaga ni utani hadi nilipokuja kujionea kwa macho
 
Si alikua mke kabisa, kula vya mumewe ilikua halali yake ila sasa kaona hawezi endelea kula vya mtu asiemtaka tena.
Kwani halikuwa hajui kama jamaa hajui kutomber huku nyuma kabla ya ndoa...hamna lolote huyo ni kumchoma moto alafu kweli watoto watatu unamuachia jamaa anamwagia tuu ndani uwiiii yaani mwenyewe sio muhusika ila tayari inaniuma kuwazia jinsinjamaa alivyokiwa anamwagja shahawa hadi tone la mwisho😭😭😭😭😭
 
Ingawa hii Inaweza kuwa Chai.

Ila amuache jamaa tu mapema naye akajitafutie familia yake.

Aache kumpotezea muda.
 

Namshauri aende kwa Ex wake aachane na mumewe ili mambo yasiwe mengi.
 
Hapa ndio maana sisi kataa ndoa tunapoingia... Wanawake baadhi ni kama Wana mapepo,

Nimekuwa single Nina kama week mbili sasa' kwa ujinga huu, unakuwa na mahusiano na mtu' yeye kwenye Kila sentence anamkumbuka ex wake, mara anasema anaota anamjia mara anaota anasex naye... Bullsh🤣t😂

Wanawake Mungu anawaona
 
Alikuwa analiwa ndogo na Ex- wake ndio maana anaona mumewe hamridhishi...hilo pepo ni la kulipiga chini liende kuambatana na pepo mwenzie
 
Nenda kasikilize kwanza tiwa savage alichoongea kabla ya kutoka kwenye ndoa.
 
Mungu anakuwezesha ufanye unavyotaka na yeye anakufanya anavyotaka kwa hio mwambie afanye anavyotaka
 
Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…