Anataka kumuacha mume wake wa ndoa ya miaka saba sababu si mzuri kitandani ili arudiane na ex wake

Anataka kumuacha mume wake wa ndoa ya miaka saba sababu si mzuri kitandani ili arudiane na ex wake

Kati ya vitu huwa sipinganj navyo ni maamuz ya mtu juu ya mwili wake na ukaribu na mtu. Akisema sikutaki mm siwez kupinga naacha aende

Ila kwa hapo anajitafutia matatizo ya maisha yake yote
 
Mambo kama hayo huwa tunayaona Tu kwenye fictional movies, ila kwenye maisha halisi hakuna kitu kama hicho mleta mada anatuzuga Tu.

Hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayeweza kudhubutu mwanaume anayemhudumia kila kitu eti arudiane na ex kwa sababu ya tendo.

Hivi watu huwa hamjui kwamba kuna maisha mengine baada ya hilo tendo la ndoa?
Tembea uone
 
No wonder watu wanajua ukatili mpaka tunaulizana mbona binadamu wamegeuka kuwa wanyama? Huyu mwamba akija kustuka itakuwa hatari sana, huyu binti hajafanya sawa!
wanwawake wa namna hiyo watalipwa na Mungu tena kwa haki
 
kuna baadhi ya post unaweza kuzisoma hadi zikadhihirisha uwepo wa shetani na kazi zake.

»huyu mdada aache kumpotezea mshikaji ramani

»umaskini wa binti ndo umemuangusha mshikaji.

»kwa sababu huyo binti anatafuta miti ya kumridhisha na si mapenzi ya kwel, kama changamoto ni kwa mwanamme walitakiwa wakae waimalize, lakn mwanamke kajipata.
HICHO NDO KIBURI CHA PESA.
HVO HATUWEZI KUCHUMA DHAMBI KWA KUSHIRIKI UMALAYA KWA KUTOA USHAURI WA KIMALAYA, HAPO HAKUNA CHANGAMOTO WALA NJIA PANDA BALI NI ROHO YA UMALAYA.
 
Dada wa watu anaomba ushauri
Mwanadada na jamaa walikutana miaka saba iliyopita kwenye msiba wa baba yake mwanadada, alikuwa na maisha magumu sana Baada ya baba yake kufariki "jamaa akachukua yale majukumu provide all basic needs"

basi jamaa akawa mfariji wake sana binti hadi wakapendana

Jamaa alimuoa binti Baada ya msiba wa baba ake miezi 6 baadae
Kahikikisha hadi bidada kamaliza elimu yake kapata kazi ya kudumu(nursing)
Miaka yote hiyo saba anamlipia mama ake mzazi mwanadada kodi(anaishi mahala pazuri) na matumizi mengine

Picha linaanza demu mwaka mmoja Baada ya kufunga ndoa na jamaa alirudiana na bwana wake wa kwanza (ex) wa secondary highschool

Jamaa amemzalisha watoto wa Tatu ndani ya ndoa bila Mume kujua

Sasa picha linakuja mwanadada haridhiki kwenye tendo kwa mume

Anasema hisia zake kwa. MUMEWE zimekufa anataka avunje ndoa arudi kwa ex wake anamridhisha sana Kitendo na anampenda sana Ila kwa upande mwingine bado huduma za MUMEWE anazitaka!

Je Una mshauri ni mwanadada Huyu!
Tamaa ilimponza fisi aendelee yatamtokea puani ...
 
Back
Top Bottom