mikila miwili
JF-Expert Member
- Dec 14, 2021
- 563
- 561
Huyu ni binti ambaye nimekua nachat nae sana, iwe whatsap au msg za kawaida. Nina siku kama 21 hivi naye.
Amekuwa akikataa, sasa nikawa natumia uanaume kumshawishi. Akaniambia nyie walimu ni njaa kali tu na mimi siezi date na mwalimu.
Nikajua anataka hela nikamuambie anipe papuchi tu then kila mtu achukue time yake, aka mind akaanza kunitukana matusi. Kama hiyo haitoshi ametuma msg kwenye group la kanisa akimuomba kiongozi wa nidhamu inbox, nime screenshot msg zake zote kwa ajili ya ushahidi.
Hapa tumbo joto nasikilizia