Reciprocal
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 329
- 523
Kiongozi wa nidhamu wa kanisa anakuathiri nini hadi umuogope?Huyu ni binti ambaye nimekua nachat nae sana, iwe whatsap au msg za kawaida. Nina siku kama 21 hivi naye.
Amekuwa akikataa, sasa nikawa natumia uanaume kumshawishi. Akaniambia nyie walimu ni njaa kali tu na mm siezi date na mwalimu.
Nkajua anatak hela nikamuambie anipe uchi tu then kila mtu achukue time yake, aka mind akaanza kunitukana matusi. Kama hiyo haitoshi ametuma msg kwenye group la kanisa akimuomba kiongozi wa nidhamu inbox, nime screenshot msg zake zote kwa ajili ya ushahidi.
Hapa tumbo joto nasikilizia
Binti hajaumbwa na kiongozi wa nidhamu wa kanisa, na kiongozi wa nidhamu wa kanisa ana dhambi zake. Kama kweli wewe ni muoga wa mambo ya kanisani basi umuogope MUNGU.
USHAURI: Kwasababu, tayari umeshafanya kosa lichukulie kuwa ni jambo la kawaida tu.
NB
Kama siyo mwanafunzi wa sekondari au msingi sidhani Kama kuna tatizo kubwa.