mikila miwili
JF-Expert Member
- Dec 14, 2021
- 563
- 561
- Thread starter
-
- #21
Sawa kaka, amenishtua mno. Sikutarajia kama anaweza fanya hivi.Labda ingekua skendo ya ushoga tu, ila kuchakata mbususu hiyo ndio nature inavyotaka ndgu yangu.
Namuogopa sana tuKwa hiyo humuogopi Mungu ila ukitishiwa kiongozi wa nidhamu tumbo joto...hakyanani mpaka Yesu arudi atatukuta tumechoka sana
Achana nae huyo ni kua hapendezwi na wewe kwa sababu fulani fulani ila kama ni mzee wa visasi ni simple tu kumuumiza ila km ni mtu wa kupotezea achana nae tu.Sawa kaka, amenishtua mno. Sikutarajia kama anaweza fanya hivi.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Sawa kakaUnamuogopa mchungaji broo, then angalia type yako oa hata kanafunzi kako kalikomaliza la saba.
Sitaki ku revenge ila nijulishe mbinu ya ku revenge.Achana nae huyo ni kua hapendezwi na wewe kwa sababu fulani fulani ila kama ni mzee wa visasi ni simple tu kumuumiza ila km ni mtu wa kupotezea achana nae tu.
🤣🤣🤣Oo kumbe una jeuri,bas ngoja upambane na Mzee wa kanisa🚴🚴To yeye bhana[emoji23][emoji23][emoji23] mimi nawaka tamaa mpaka kwako
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Yaani hawatoamini majibu watakayopata[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Oo kumbe una jeuri,bas ngoja upambane na Mzee wa kanisa[emoji468][emoji468]
🤣
Roger that... backup team on the way [emoji23][emoji23]Delta 1, this is Alpha 1 reporting......
Female terrorist in sight.
Man down I repeat man down
Liverpool VPN do you copy?
Kama hutaki kurevange achana na kujua mbinu.
Yaw yawKho Kho Kho Kho
Roger that... backup team on the way [emoji23][emoji23]
unaogopa nini, kaza weweHuyu ni binti ambaye nimekua nachat nae sana, iwe whatsap au msg za kawaida. Nina siku kama 21 hivi naye.
Amekuwa akikataa, sasa nikawa natumia uanaume kumshawishi. Akaniambia nyie walimu ni njaa kali tu na mm siezi date na mwalimu.
Nkajua anatak hela nikamuambie anipe uchi tu then kila mtu achukue time yake, aka mind akaanza kunitukana matusi. Kama hiyo haitoshi ametuma msg kwenye group la kanisa akimuomba kiongozi wa nidhamu inbox, nime screenshot msg zake zote kwa ajili ya ushahidi.
Hapa tumbo joto nasikilizia
Huyu ni binti ambaye nimekua nachat nae sana, iwe whatsap au msg za kawaida. Nina siku kama 21 hivi naye.
Amekuwa akikataa, sasa nikawa natumia uanaume kumshawishi. Akaniambia nyie walimu ni njaa kali tu na mm siezi date na mwalimu.
Nkajua anatak hela nikamuambie anipe uchi tu then kila mtu achukue time yake, aka mind akaanza kunitukana matusi. Kama hiyo haitoshi ametuma msg kwenye group la kanisa akimuomba kiongozi wa nidhamu inbox, nime screenshot msg zake zote kwa ajili ya ushahidi.
Hapa tumbo joto nasikilizia
Of course mkuu kma vp akaseme ata Kwa mwenyekt wa kijiji aone nan Hana akiliPole sana mwalimu..usiwaze sana mwanaume unaogopaje kujulikana kama wewe ni kidume.?
Kutongoza ni haki ya msingi ya mwanaume.
#MaendeleoHayanaChama