Jitume saa moja na nusu??? yaani mpira wa miguu unanza mpaka unaisha we unakita tu?
Kwa namna hii hata afya inaweza ikawa mgogoro...estimate times 3 per week..utakuwa umetumia masaa 4.5 na zaidi ukiwa hewani ..hii kali!!! inahitaji upate msosi mzuri na usiwe busy sana na kazi...pole sana!
Tatizo nikiongea hapa wengine wananibeza.
Ila kiukweli ilifikia wakati hadi nikachukia nikamtia makofi mengi tu. Yani mimi ndo nahangaika peke yangu yeye mhhh. Halaf hata kutomaswa hataki. mwisho wa siku analalamika.
Kwa wiki mara moja, wakat mwingine tunapitiliza had wiki 2
Kwa namna hiyo anza kutafuta exit strategy mapema, hapo siyo pa kuwekeza. Pole sana..najua ni vigumu sana kukubali matokeo lakini inabidi ukubali with time utazoea na utampata ambaye atakuwa mwenza wako wa ukweli...not that pretending...selfish one
Tatizo nikiongea hapa wengine wananibeza.
Ila kiukweli ilifikia wakati hadi nikachukia nikamtia makofi mengi tu. Yani mimi ndo nahangaika peke yangu yeye mhhh. Halaf hata kutomaswa hataki. mwisho wa siku analalamika.
Duh Makofi tena???? No wonder mtoto wa watu anaomba nauli ya kurudi kwao!!!!!!!!!
Tulishazoeana, kuanza upya tena jamani mbona ngumu. utafute, akukubali halafu muanze kusomana tabia, na mvi nazo zinanyemelea.
Hapana mkuu, huwa anasema kabisa, it is there, it is there, it is there, oh no, thankyu...bada ya hapo ananibeza.
Ulivyomkataa yule aliekua anakuvumilia ulitegemea nini? malipo hapa hapa duniani. Mwone kwanza na kitambi ka.......
Sasa mbona kuna sehemu unasema huko alone?Unatafuta wa kutoka naye weekend hii?Wewe tapeli tu wa mapenzi hapa unawazuka dada zetu wa JF.mKE YUPO NA ENDI POPOTE NA HAYO YOTE NI MKWARA ILI WADADA WAKUONEE HURUMA WATOKE NA WEWE...Jamani nimetumia akili, nguvu, juhudi, jitihada, maarifa na kila kitu ili mradi tu afurahi; lakini sina hakika kama nimegonga mwamba au ni kwamba ameamua tu kuniumiza. Ndio kusema hanitaki? Au anayoyasema ni kweli!
Sasa nyumbani kimenuka, na hataki tena nile.
Hapa ameniambia nimtafutie nauli aende zake!
Kumpenda nampenda, nifanyeje?
Sasa mbona kuna sehemu unasema huko alone?Unatafuta wa kutoka naye weekend hii?Wewe tapeli tu wa mapenzi hapa unawazuka dada zetu wa JF.mKE YUPO NA ENDI POPOTE NA HAYO YOTE NI MKWARA ILI WADADA WAKUONEE HURUMA WATOKE NA WEWE...

Jamani nimetumia akili, nguvu, juhudi, jitihada, maarifa na kila kitu ili mradi tu afurahi; lakini sina hakika kama nimegonga mwamba au ni kwamba ameamua tu kuniumiza. Ndio kusema hanitaki? Au anayoyasema ni kweli!

Sasa nyumbani kimenuka, na hataki tena nile.

Hapa ameniambia nimtafutie nauli aende zake!

Kumpenda nampenda, nifanyeje?

Hv yule demu wako wa jf ameishia wapi?uliekuwa unajigamba kwamba kumbe mademu jf ni warahisi...
Ila kama kweli picha yako na yake ndiyo hizo naziona kwenye avatar yako, ni halali akukimbie!!Hapana mkuu, huwa anasema kabisa, it is there, it is there, it is there, oh no, thankyu...bada ya hapo ananibeza.
Tumia wazee kuweka mambo sawa! Usikubali aondoke km bado wampenda, mfanyie vyote atambue wampenda!