Anataka kunikimbia....kisa....eti simfikishi kilimani!


alikuwa anakutafutia sababu kwa ishu kama hizi ndio maana small house zinaibuka amini ninayokuambia kama mpige chini utaumia kwa siku tatu kisha unazoea..
 
Huwa anaanzisha vurumai hadi majirani wanasikia. Utawasikia majirani: "tayari wameshaanza huko", heheheeee kaaaazi kwelikweli, wananibeza majirani.

haha huo ni ubakaji sasa
 
hakupendi wala nini unajidanganya.............umeshindwa kumfikisha waachie wenzako wamfikishe
 
Lkn bado nampenda na yeye anaonekana kunipenda sana. nikichelewa kurudi nakuta hata chakula hajala anakua analia tu.

Huweleweki. Mwanzo umesema amekuambia umtafutie nauli aende zake sasa unasema yeye anaonekana kukupenda sana. kama anakupenda kwa nini aombe nauli aende zake? Ni asilimia ndogo sana ya wanawake huwa wanafikishwa kileleni. Najaribu kupiga mahesabu kama wote wangeomba nauli waende zao.
 

Halafu sio wewe ulianzisha hii thread? Acha kutopoteza muda wetu. Nyie ndio mnaoharibu hili jukwaa. nakuripoti kwa mods. Hii thread yako nyingine:

kwa kweli kwenye shuhuli anatoa ukelele wa hali ya juu. sasa majirani wamecharuka wanadai tuhame tunawakaraisha. nimemsihi mwenzi wangu apunguze lakini anadai hafanyi makusudi anapokaribia mshindo tu ndo huwa balaa. Nifanyeje mwenzenu na kesi tayari ipo kwa mjumbe majirani wamecharuka

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/165352-mwenzi-wangu-anatoa-ukelele-majirani-wanadai-tunawasumbua-hawalali-eti-tuhame.html

 
Kwanza punguza u-kiritimba kwenye uwanja wa mapambano,
Pili punguza kitambi hicho,

Tatu inawezekana kusoma hujui na hata picha huoni ? huyo hukutaki achana nae! utaitwa king'ang'anizi ebo!
 

Suit yourself!
 
Usinitukane wewe mpumbavu. Unadhani wewe ndo mjuvi sana humu ndani sio?

Kati ya mimi na wewe mpumbavu ni nani? Mwezi huu umeanzisha hii thread:


Mwezi uliopita ulianzisha hii:


Kama huu sio upumbavu ni nini? Upumbavu wako huko huko. Usituharibie jukwaa hapa.




 
Mkuu una shida gani na mimi. Kwani tatizo liko wapi hapo. Ok, endelea utakavyo, siongei tena na wewe.

Tatizo hulioni? Au ujinga wako ndio unakufanya usione tatizo. Unataka kuniambia kuwa kwenye threads zako mbili hapo chini huoni tatizo?

Mwezi huu:


Mwezi uliopita:


Hakuna tatizo hapo? Ujinga wako huko huko.


 
........huyo atakuwa kwanza sio mkeo,mwache aende tu kwani hakutaki,katafuta sababu tu
 

Unadai unamfiksisha hadi anapiga kelele za furaha....halafu mkiamka asubuhi anasema humfikishi......na anataka kuondoka....
Hebu fikiria vizuri halafu uposti tena......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…