careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,652
UbakajiKwa kosa gani mkuu?
Mi siishi nae kwa maana ya kukaa nae, mi niko na mahusiano nae tu ila anakaa kwao.
Huyu Mzee bhana haishi kunitishia mara tu baada ya kusikia naishi na binti yake. Binti yake anasoma Chuo Diploma mwaka wa pili. Kiumri tayari ameshaover 18+ lakini mzee wake anakaza anataka anipeleke polisi kwa kesi ya kwamba Binti yake bado anasoma.
Je, Wakuu kuna kesi yoyote hapo endapo akifikia hatua ya kunipeleka huko? Sheria zinasemaje kwa umri na mtu anaesoma ngazi hiyo ya Elimu? Kuwa kwenye mahusiano ni kosa kisheria au ni haki yake?