Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yanHawapendi watoto wake huyo
Kabisa yaan....siyo kwa dunia ya sasaHawapendi watoto wake huyo
Wala si utaniHuyo mzazi ni punguani na limbukeni, ataharibu mtoto wake kimasihara
FactKabisa yaan....siyo kwa dunia ya sasa
100% FactKuna watu huwa wanajikuta tu wana watoto lakini hawana mapenzi na watoto. Moja ya sifa za watu hawa ni kukaa mbali na watoto wao; sasa sehemu rahisi ya kuwapeleka mbali nao ni shule za bweni au kwa bibi. Na wengine ni wale ambao hutoa mimba/kuua vichanga. Katika maisha sio lazima kila mtu azae. Ukiojiona hivyo usifuate mkumbo wa kuzaa jamani mweeh
Sure Tena shule ya msingi aiseeMim hata sio wavulana ata wasichana sipeleki bording nimesoma huko zile hekaheka pyuuuuuu hapana
Kupeleka mtoto wa darasa la tano boarding ni kutompenda kweli? wewe unajua mazingira ya nyumbani kwao kwamba bora bweni kuliko kubaki nyumbani, kuna shule za bweni zina huduma nzuri hata kuliko huduma ya nyumbani, masikini wengi tusio wenza bweni za Ems tuna jifariji na hoja za kitoto kwani mtaani watoto hawaribiki, shule ya Ems ni pesa sio chini ya 1.5m ndo maana mnatafuta visababu vya kushindwa kutoa adaKuna watu huwa wanajikuta tu wana watoto lakini hawana mapenzi na watoto. Moja ya sifa za watu hawa ni kukaa mbali na watoto wao; sasa sehemu rahisi ya kuwapeleka mbali nao ni shule za bweni au kwa bibi. Na wengine ni wale ambao hutoa mimba/kuua vichanga. Katika maisha sio lazima kila mtu azae. Ukiojiona hivyo usifuate mkumbo wa kuzaa jamani mweeh
Kupeleka mtoto wa darasa la tano boarding ni kutompenda kweli? wewe unajua mazingira ya nyumbani kwao kwamba bora bweni kuliko kubaki nyumbani, kuna shule za bweni zina huduma nzuri hata kuliko huduma ya nyumbani, masikini wengi tusio wenza bweni za Ems tuna jifariji na hoja za kitoto kwani mtaani watoto hawaribiki, shule ya Ems ni pesa sio chini ya 1.5m ndo maana mnatafuta visababu vya kushindwa kutoa ada
Kupeleka mtoto wa darasa la tano boarding ni kutompenda kweli? wewe unajua mazingira ya nyumbani kwao kwamba bora bweni kuliko kubaki nyumbani, kuna shule za bweni zina huduma nzuri hata kuliko huduma ya nyumbani, masikini wengi tusio wenza bweni za Ems tuna jifariji na hoja za kitoto kwani mtaani watoto hawaribiki, shule ya Ems ni pesa sio chini ya 1.5m ndo maana mnatafuta visababu vya kushindwa kutoa ada
FactHao watoto wanaoharibika wanatoka kwenye hizo shule unazodai ni bora. Hapa hatuangalii gharama tunaangalia usalama na hali halisi ya mapenzi kwa mtoto. Kaeni na watoto wenu angalau aanze sekondari anakuwa amepevuka kidogo kiasi kwamba hawezi kurubuniwa na kuharibiwa kirahisi na pia anakuwa amepata mapenzi ya wazazi na anafeel kupendwa. Mtoto darasa la 3 unampeleka akakae mbali na mzazi kisa eti una pesa ya shule bora za boarding unamkosesha mapenzikutoka kwa wazazi ambayo ni muhimu katika umri wake. Mkizeeka ndio ninyi mnaolalamika eti mtoto hana mapenzi na wazazi, unasahau ulimyima mapenzi toka akiwa mdogo. Fikiri kwa upana; pesa zako zisikutenge na watoto wako. Mifano ni mingi tu.
FactTafiti zinasema ndugu na watu wetu wa karibu ndio wanaongoza kufanya ukatili wa kijinsia na kihisia kwa watoto .
Mkoa wa Kilimanjaro ndio kinara kwa wajomba kulawiti watoto.
Anaweza kuwa ni yeye mkuu, anatafuta maoni ya wadau juu ya uamuzi wa baba watotombona una jina la mtu mmoja hivi alieachika na mumewe, amepata naye watoto wawili wa kiume, na kweli huyo baba alitaka akapeleka watoto boarding sababu mwanamke hakai na watoto amewabwaga kwa mama yake watoto wanateseka?