bandeko andeko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 1,080
- 2,143
hawezi kuwa yeye kwa kuwa huyu ni wale against ems toka apate sakata la ada na uhamisho ametokea kuzichukia kweli hizo shule.Anaweza kuwa ni yeye mkuu, anatafuta maoni ya wadau juu ya uamuzi wa baba watoto