Anataka kupeleka watoto wake boarding shule ya msingi. Ameshauriwa lakini hasikii litakalomkuta Mungu anajua

Wazazi tumejikita kwenye kutafuta pesa na tumesahau malezi ya watoto wetu
Kumbe una busara sana mkuu ila unajitia upofu kwa kupeleka watoto wako Ems.

Haya Sasa twende Kazi kimbia haraka Sana Hadi kwenye Shule ya ems watoe watoto huko warudishe Kayumba

Thanks me later🙏🙏🙏🙏
 
Asante kwa ushauri mkuu...🤣
 
Kumpeleka mtoto boarding iwe hatua ya mwisho kabisa baada ya hatua nyingine kugonga mwamba.

Kama mama yupo atulie alee watoto.
 
S Bora huyo kuna mzaz mmoja anaitwa jojo aliua mtoto wake mwenyew kisa kula bata
 
Wanangu kwa ngazi ya primary watakaa nami mpka watapoanza kidato Cha kwanza.....

Nahitaji kumjua mwanangu vizuri, kuzungumza naye na atambue Mimi ni baba yake na sio uncle!!

Ni lazima niwe na bond nzuri na wanangu hasa pindi hicho sina mtoto wa kwenda boarding......

Hata sekondari nitawapa somo....

Nimesoma boarding toka nikiwa mdg tuu, mpk fom six naelewa boarding schools lifestyle vzr!

watoto wale waliobahatika kubalehe, ama wenye kukaa na watu wa aina tofaut hasa wakubwa na wanaojua mapenzi wakifik kule wanataka kuwajaribu wenzao!

Hasa wakiume wanao fanana na mama zao, ambao wako softly, au maisha yake sio classy akikukutana na watoto mabazazi kakwisha!

Hiyo michezo inaanza shule
 
Kutokana na majukumu ya kileo Mara ingine unaweza peleka watoto boarding pengine ni salama zaidi kuliko waangalizi wa mtaani, Mambo ni mengi
 
Wanangu kwa ngazi ya primary watakaa nami mpka watapoanza kidato Cha kwanza.....

Nahitaji kumjua mwanangu vizuri, kuzungumza naye na atambue Mimi ni baba yake na sio uncle!!

Ni lazima niwe na bond nzuri na wanangu hasa pindi hicho sina mtoto wa kwenda boarding......

Hata sekondari nitawapa somo....

Nimesoma boarding toka nikiwa mdg tuu, mpk fom six naelewa boarding schools lifestyle vzr!

watoto wale waliobahatika kubalehe, ama wenye kukaa na watu wa aina tofaut hasa wakubwa na wanaojua mapenzi wakifik kule wanataka kuwajaribu wenzao!

Hasa wakiume wanao fanana na mama zao, ambao wako softly, au maisha yake sio classy akikukutana na watoto mabazazi kakwisha!

Hiyo michezo inaanza shule
100% Fact
 
Watoto wake Wapo wawili mmoja la 5 mwingine la 3. Wote wa kiume. Kaambiwa siku hizi watoto wa kiume Wana haribiwa shule za boarding hazifai bado wadogo hao hasikii. Watu wengine matatizo huwa wana jitakia wenyewe
hii inaitwa child institutionalization , huo ni ukatili mkubwa wa watoto, wazazi wanafikiri ni fashion ya kimambo leo🙄
 
Mimi personally Nina support watoto kusomea primary boarding, kuliko kumpeleka mtoto EMS za school bus , anaamshwa na dada wa Kazi, anatandikiwa kitanda anakumbushwa kufua socks akawa mlaini mlaini hajui maisha zaidi ya homeworks tu akija nyumbani Hana majukumu zaidi ya kuangalia katuni ni mara mia aende boarding ili awe responsible na maisha yake mwenyewe, ajue kujifanyia Kila jukumu linalomhusu yeye kama yeye. Ninafahamu watoto ambao akiwa day ya EMS anakuwa kama mjinga ila akienda boarding hata mwezi mmoja tu, anarudi akiwa hata anajielewa anajua niamke saa ngapi nifanye hiki nifanye kile. Day EMS are bad schools.
 
Kumbe suala linalo zungumziwa hapa ni Ushoga na Usagaji?

Hili liko huku Uraiani kwa sanaa tyuuh, sio huko boarding schools pekee.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Mimi personally Nina support watoto kusomea primary boarding, kuliko kumpeleka mtoto EMS za school bus , anaamshwa na dada wa Kazi, anatandikiwa kitanda anakumbushwa kufua socks akawa mlaini mlaini hajui maisha zaidi ya homeworks tu akija nyumbani Hana majukumu zaidi ya kuangalia katuni ni mara mia aende boarding ili awe responsible na maisha yake mwenyewe, ajue kujifanyia Kila jukumu linalomhusu yeye kama yeye. Ninafahamu watoto ambao akiwa day ya EMS anakuwa kama mjinga ila akienda boarding hata mwezi mmoja tu, anarudi akiwa hata anajielewa anajua niamke saa ngapi nifanye hiki nifanye kile. Day EMS are bad schools.
Naunga mkono kwa mtoto wa drs la 7...na kuendelea
 
Back
Top Bottom