Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246

Sidhani kama kupima HIV ni compulsory tuache kutisha watu.
kweli kabisa ni lazima wapime. Tatizo watu hawajui umuhimu wa kupima! 🙁

ni lazima tena wote 2, msipopima no huduma hasa maeneo ya mkoa wa iringa

ni lazima tena wote 2, msipopima no huduma hasa maeneo ya mkoa wa iringa
unaweza kueleza ni sheria ipi inayoelekeza mama mjamzito apime HIV?ninavyofahamu kupima HIV ni hiari na hufanywa baada ya mhusika kupewa ushauri nasaha na kama akikubali kupimwa anapewa ushauri unaoendana na matokeo yake.kwa kifupi kinamama wanashauriwa na sio kulazimishwa kupima HIV.Ni lazima apime..hiyo itamsaidia kulinda afya ya mtoto asiambukizwe akiwa tumboni au akiwa anajifungua. Kama atakutwa nao kuna dawa watampa ya kumsaidia mtoto asiambukizwe tumboni. Mimi ninafahamu ni sheria na kuna sehemu ya kadi ya klinic inatakiwa ijazwe matokeo ya HIV.
unaweza kueleza ni sheria ipi inayoelekeza mama mjamzito apime HIV?ninavyofahamu kupima HIV ni hiari na hufanywa baada ya mhusika kupewa ushauri nasaha na kama akikubali kupimwa anapewa ushauri unaoendana na matokeo yake.kwa kifupi kinamama wanashauriwa na sio kulazimishwa kupima HIV.
kupima sio lazima na kama umelazimishwa ni kinyume na maadili ya udaktari.hizo technical terminologies zinaelezea makundi yote aliyepima na kuwa +,aliyepima na kuwa negative,aliyepima lakini majibu hajulikani na asiyepima kabisa.kuhusu kuepusha maambukizi kwa wahudumu wa afya;hii haina logic kwa sababu sio ukimwi pekee unambukiza.isitoshe muhudumu wa afya amefundishwa kuzuia maambukizi kwake au kwa mgongwa(infection prevention techniques)Kupima ni lazima ila kuchukua majibu ni hiari. Mfano kama ukikataa kupima watakupima bila ridhaa yako kwani wakati wa clinic lazima utatolewa damu tu. Wao watajaza kadi yako ya clinic na kuonyesha status yako. Hii inasaidia hata wakunga watakao kuhudumia wakati unajifungua kujikinga usiwaambukize. Ukiwa makini unaweza soma kadi ukajua status ya mtu hawaandiki HIV wanatumia technical language(nimeisahau) lakini kama umeenda shule utajua.
Nimekumbuka rafiki yangu mumewe hajatulia fulani (yani wanaume wengi utulivu zero ila yeye hafichi anajulikana ni macho juu) sasa alipokuwa mja mzito mume wake eti anamwambia marufuku kupima HIV hawawezi kukulazimisha. Wanaume bwana. Lakini alipima bila kumshirikisha.
Ila haya mambo nakumbuka nilikwenda clinic siku moja nikaona mdada analia na mimba yake yani nikajisemea kaambiwa +ve nini. Tena hizi private hospital hakuna cha counselling wala nini.
Tatizo watu wengi hatucheki afya zetu na tunazaa bila mpangilio. Kama una good planning ya uzazi unapima kwanza kabla ya ku conceive.
kupima sio lazima na kama umelazimishwa ni kinyume na maadili ya udaktari.hizo technical terminologies zinaelezea makundi yote aliyepima na kuwa +,aliyepima na kuwa negative,aliyepima lakini majibu hajulikani na asiyepima kabisa.kuhusu kuepusha maambukizi kwa wahudumu wa afya;hii haina logic kwa sababu sio ukimwi pekee unambukiza.isitoshe muhudumu wa afya amefundishwa kuzuia maambukizi kwake au kwa mgongwa(infection prevention techniques)
nasisitiza kabla mgonjwa hajafanyiwa chochote(pamoja na kupima) lazima atoe informed conset.tusihalalishe makosa yanayofanywa na baadhi ya wahudumu wa afya kuwa ni sheria.
ki maadili huwezi kutolewa damu ya vipimo bila ridhaa yako.kumbuka unapompima mama kwa lazima hutaweza kumlazimisha anywe dawa au afuate masharti ya kuishi na virusi hivyo unachohitaji ni kumnasihi ili akubali na kuelewa.ulazima hautakiwi kuwepo kwa sababu hausaidii.Sasa hapo ni kazi. Je utatofautisha vipi hiari na lazima; kwani unatakiwa usaini kabla ya kupimwa. Hata ukisema ushitaki una evidence gani kuwa ulilazimishwa au ilikuwa hiari wakati hakuna sehemu unayotakiwa kusaini kuonyesha umekubali au la? Nachojua operesheni ndio watu wanasaini makaratasi kuonyesha wamekubali. Lakini hata ukipimwa ki lazima huwezi shitaki kwa kuwa huna ushaidi kuwa umelazimishwa.
unaweza kueleza ni sheria ipi inayoelekeza mama mjamzito apime HIV?ninavyofahamu kupima HIV ni hiari na hufanywa baada ya mhusika kupewa ushauri nasaha na kama akikubali kupimwa anapewa ushauri unaoendana na matokeo yake.kwa kifupi kinamama wanashauriwa na sio kulazimishwa kupima HIV.