Anataka kutoa mimba kisa Anaogopa Compulsory HIV testing

naomba huo muongozo wa wizara ya afya "unaolazimisha" upimaji wa HIV.hizo basic investigations unazosema zinahitaji hiari ya mgonjwa na sio kumkurupukia kama unavyosema.
 
naomba huo muongozo wa wizara ya afya "unaolazimisha" upimaji wa HIV.hizo basic investigations unazosema zinahitaji hiari ya mgonjwa na sio kumkurupukia kama unavyosema.
<br />
<br />
mkuu kwenye package ya huduma ya afya kuna kitu kinaitwa RCH ie reprdtv and child health ndani ya hiyo kuna pmtct ie prevention of mother to child transmsn ambayo ni lazma ifahamike hiv status yenu. Pia kumbuka siku hizi suala la ukimwi cio la kuficha inatakiwa muhudumu wa afya ajue afya yako ili akupe huduma stahiki! Aafu mkuu inaonekana uko kwenye teens, mbona mpaka vjjn wanajua hii huduma?
 
naomba huo muongozo wa wizara ya afya &amp;quot;unaolazimisha&amp;quot; upimaji wa HIV.hizo basic investigations unazosema zinahitaji hiari ya mgonjwa na sio kumkurupukia kama unavyosema.
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;
 
Kupimwa ni lazima ila majibu sio lazima ndugu.
 
sheria? Sheria? Wewe nenda clinic kaulize.. Nimeyaona cjasema tu. Sasa wewe kama unaakili timamu na unaplans nzuri za maisha yako kwa nini usipime? Kuna hospitali nyingine ni lazima na nyingine zinazofikiria pesa kabla ya uhai wa mtoto watakulazimisha usipime kwa kuwa wanataka pesa tu. Kuna umuhimu MKUBWA sana wa mama mjamzito kupima...hivi matangazo ya free HIV generation huyajui? Kila siku yanapiga kelele kuwafundisha viumbe visivyo na akili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…