Anataka kuwa mke bora baada ya kunidharau

Anataka kuwa mke bora baada ya kunidharau

Na wewe mtoa mada kwa nini toka ulipoachana na huyo dada ukutafuta mwanamke mwingine ufunge ndoa? Inaonekana wewe sio muoaji kuna tatizo upande wako jitafakari.
Mipango ilikuwa mingi, ila mda si mrefu nafanya mambo.
 
Kwa hiyo jumla ni miaka 15? Acheni kuwazeesha watoto wa watu. Subiri haya mnayofanya watafanyiwa watoto wenu wa kike mtaona jinsi roho inauma. Karma
Hakuna cha karma wala nini, watoto wa siku hizi wameaminishwa katika mambo ya kijinga.
 
Nyie wanawake vichwa vyenu sijui kuna nini!!... ivi unajua mtu anayesema kuvumilia wewe.. sikuzote ukiamua amua ila sio unadate na mtu kusikilizia mahusiano yanahutaji commtment za kujisucriface...kwa apo usimtete uyo dada wala mwanaume kos mwanaume alibaki kwenye kitu anachokiamini(focus) msichana akamua kijitoa apo shida iko wapi??!? kwani uyo dada angefanikisha kweli ndoa na angeishi ayo maisha aloyataka kuyapata kwa shortcut leo angeludi kwa uyu jamaa??!??

Chansingi apo kila mtu apokee matokeo ya maamuzi yake wala sio kwa ubaya kabisa uyo dada akubali kua karata alocheza kaliwa na atafute mtu mwingine huenda akapata na mtu mwingine wakatengeneza maisha mapya na mazuri ikabaki historia... na uyu jamaa pia na yeye atafute binti mwingine amuoe watengeneze maisha mengine fullstop.....

Sa yeye ajichanganye amrudie na huakika hawato kaa kwanza mwanaume atakua anamtesa mwanamke kihisia sababu mwanamke atataka kumprove kua kabadilika namwanaume atakua kua anaamini ye anahaki yakukosea maana mwanamke kesha mkosea kosa kubwa na kamsamehe

Mwisho sijaongelea swala la watoto[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ivi unajua mateso ya kuona picha ya mtu aliekusaliti naye watoto watatu wote wnamfanana [emoji16][emoji16]kila siku itakua inakukumbusha uyo baba wtoto wake alivokulia wife ako mwisho kwenye malezi unaeza taka kuwakanya watoto wanapokosea mwanamke akaona huwapendi watoto wake sabab sio wako wa damu...mateso yote yanini KILA MTU APATE ALICHOPANDA....nawew dada acha kusupport ujinga.
 
Kosa uyo binti ni moja tuu kwenda af kurudi ukishafanya maamuzi jua kuna matokeo na matokeo unabidi kuyapikea na kuyakubali sa anarudi ili iweje!!! Inanyoesha hana commtiment sbabu anaeza rudia tena sbabau sisi binadamu tukiwa na shida hua tunaweka mikono nyuma mfano mzuri ni mtu akija kwa shida maranyingi ukimsadia af ukategemea malipo watakudissapoint hadi ukome so ayo maisha wanaitana apo kulisimualana na kuoneshana umo getto kwa mwanamke ni upumbavu yalishapita kitambo apo no feelings shld be attached ni kumsaidia kama binadamu mwingine yoyote afu apite ivi asimwangalie wala kumfatilia
 
Uyo jamaa najua ni boya anaeza mrudia maana anafeelings na kesha generate hisia za chuki pia tokea amemuacha uyo dada sasa we nakuona pia ni wahivohivo ni wale watu wamahisia[emoji16] a.k.a sharukhani sa nyie tanguliza hisia mwache uhalisia et kisa ulimfyatua miaka 10 bila ndoa eti ndo umrudie kati kuna KIDUME kimoja kimefyatua miaka mitano na watoto watatu juu ambayo ni dam yake na kimemshit bila huruma sa mshauri ajirudishe ndo atajua vizuri hao hawafai kurudiana washanajisiana mahusiano yao saiv yatakua more complicated zaidi yawalivokua mwanzo kos kila mtu anamazito moyoni

Nasikuzote usimwamini mwanadamu anayekuja kwako kwakubanwa na shida sana af alie furahia sana maana shida zikiisha au iyo furaha anarudi kwenye uhalisia wake.
 
Kama alichoka anarudi kufanya nin huko alikokosa ndoa???? Maana shida yake haijawa solved, jibu linakuja kama kweli karudi kwa upendo sio shida bas ameprove kua ndoa iyo mnayoisema kua jamaa alikosea au watoto sio kitu cha msingi ndo maana karudi kwa uyo uyo alomyima ndoa. Otherwize safari iendelee kutafta wa kumwoa kos wote maex wake hawampa ndoa anayoitaka zaidi kapata hasara

Tofauti na apo nishida tu zimemrudisha na wala sio kua huba la kweli la jamaa, najamaa awe makini uyo dada shida zikija kua solved.
 
Hata mm nimeumia hivi awe dadaangu awe na ww miaka 10 unamwagia tu afu unamuacha? Ww kwann usingemzalisha fala ww

Sio kila mwanaume anapenda kuzaa watoto wakuja kuzurulisha mtaani, mwanamke umebeba viazi kichwani bado unamtoto mgongoni wengine tunapenda kuzaa kwa malengo na kuoa kwa malengo rasmi sio kuendeshwa kihisia tuu sababu tu ajua wajibu wetu kama mababa sio uyo aliemfata akamzalisha na ndoa akamyima na akamtelekeza uku anadam zake tatu tatizo wanawake akili zenu banna ila siwez kuwalaumu maana mmeumbwa ivo ndo maana wazee wetu zaman ukishakua kijana wanakupa shamba na eneo la kujenga na mahali ili mwanamke wako akukute unakila kitu ye afikie kwenye kuzaa na kulea tuu ila maisha UKWELI HAKUNA KITU KIGUMU KAMA KUTAFUTA MAISHA UKU UNAMWENZA PEMBENI NI MUNGU TU LABDA AWALINDE wanawake wanaroho ndogo kuvumilia ila sisi ndo hua tunaversion kichwani mwetu na ndo maana mwanaume alienapesa anaeza chapa wake za watu atakavyo na wachumba mtaani sababu wao sikuzote kwenye shida wanatafta shortcut sio kuface.
 
Kosa uyo binti ni moja tuu kwenda af kurudi ukishafanya maamuzi jua kuna matokeo na matokeo unabidi kuyapikea na kuyakubali sa anarudi ili iweje!!! Inanyoesha hana commtiment sbabu anaeza rudia tena sbabau sisi binadamu tukiwa na shida hua tunaweka mikono nyuma mfano mzuri ni mtu akija kwa shida maranyingi ukimsadia af ukategemea malipo watakudissapoint hadi ukome so ayo maisha wanaitana apo kulisimualana na kuoneshana umo getto kwa mwanamke ni upumbavu yalishapita kitambo apo no feelings shld be attached ni kumsaidia kama binadamu mwingine yoyote afu apite ivi asimwangalie wala kumfatilia
Anajua nitamsikiliza sababu nina utu
 
Sasa lengo la wewe kuonana nae lilikua ni nini?
 
Back
Top Bottom