Anataka kuwa mke bora baada ya kunidharau

Anataka kuwa mke bora baada ya kunidharau

Naunga mkono hoja yako.

Binafsi kurudiana na ex nakutafsiri kama kuendeleza mateso toka pale mlipoishia na sio kingine.

Kigezo pekee Cha Mimi kurudiana na ex ni iwe hajawahi kuwa na mahusiano na mtu mwingine yeyote toka tulipopeana mgongo na mimi iwe hivo ....kitu ambacho hakiwezekani.

LKN Kwa muandiko wa mtoa mada ....picha nnayoiona huyo ex ndo atakuwa mke au mchepuko wa kudumu wa huyu mtoa mada.....

Na mtoto wa huyo ex anaweza kuwa mtoto wao wa 1 na wa mwisho.....ten years bila mtoto.....kuna kitu hakipo sawa hajaelezea vizuri.
Haha niko fresh mkuu kutokuzaa mda mrefu ni mipango tu
 
Ramli zinaonyesha ameshakwenda kwa mganga tayari na bado kidogo amalizie kazi. Huna namna ya kumkwepa.
 
Maisha tu ndugu huyo akipata wa kumtoa hata laki na hamsini kwa mwezi tu akapata kula bila mawazo na soap sop kidogo utamsahau.

Wanawake ni kama maua
Duu kazi kweli, atafute mtu wa kumpa laki na nusu kila mwezi badala atafafute kazi ya kumuingizia kipato.
 
Hili neno kutumia silielewi!!! Hivi ni nani anamtumia mwenzake Kuanzia monetary!? Unajua nguvu zinazotumika zinagharimu kiasi gani kuzitengeneza? Tuwe Fair!
Mmh we nae Unataka ligi tu..we mwanao wa kike amegwe miaka kumi utajisikiaje?
 
Hili neno kutumia silielewi!!! Hivi ni nani anamtumia mwenzake Kuanzia monetary!? Unajua nguvu zinazotumika zinagharimu kiasi gani kuzitengeneza? Tuwe Fair!
Ni ujinga kusema mtu anatumiwa, kwani unakuwa huna akili mpaka ya kufikiria kwamba huyu ni mtu sahihi au la. Ukiona mtu haeleweki hata kama mmefunga ndoa moveon, na uhakikisje umepata better person, sio unaenda kuangukia kwa kimeo zaidi. Pia dating haimaanishi kwamba ni kugegedana kila siku kama wabongo wengi wanavyofikiri.
 
Mmh we nae Unataka ligi tu..we mwanao wa kike amegwe miaka kumi utajisikiaje?
Sikutaka ligi nilikuwa najaribu kutazama jambo hili kwa mtazano wa usawa. Kama mtazamo wangu ni batili kwako, nakutakia kila la heri.
 
Swala sio kwenda Kwa aliyebora chief,hapo ni swala la karma kuingia kwenye system mkuu.hata kama ulikuwa juu mawinguni itahakikisha inakushusha chini sakafuni ugaregare huko.

*tujifunze kuachana Kwa wema
Nyie wanawake ndio mstari namba moja katika kuacha wanaume na nyodo.
 
Na wewe mtoa mada kwa nini toka ulipoachana na huyo dada ukutafuta mwanamke mwingine ufunge ndoa? Inaonekana wewe sio muoaji kuna tatizo upande wako jitafakari.
 
Back
Top Bottom