whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
- Thread starter
-
- #281
Mipango ilikuwa mingi, ila mda si mrefu nafanya mambo.Na wewe mtoa mada kwa nini toka ulipoachana na huyo dada ukutafuta mwanamke mwingine ufunge ndoa? Inaonekana wewe sio muoaji kuna tatizo upande wako jitafakari.
Na nyie mnaotutafutia wake wenza na mnatuonyeshea makusudi kabisa mko mstari wa ngapi?Nyie wanawake ndio mstari namba moja katika kuacha wanaume na nyodo.
Maisha yamerahisishwa Sana.🤣🤣🤣🤣 Ila wazazi wa sasa wanafeli sana....mtoto wako wa kike anagegedwa tuu nawe unaona poa.
Hakuna cha karma wala nini, watoto wa siku hizi wameaminishwa katika mambo ya kijinga.Kwa hiyo jumla ni miaka 15? Acheni kuwazeesha watoto wa watu. Subiri haya mnayofanya watafanyiwa watoto wenu wa kike mtaona jinsi roho inauma. Karma
Wapo wanakaa Zaid ya Hyo na wanaolewa. WaTu wanaanza mapenzi since teenage age, Miaka 10 si kitu
Hata mm nimeumia hivi awe dadaangu awe na ww miaka 10 unamwagia tu afu unamuacha? Ww kwann usingemzalisha fala ww
HahahahaMuoe tu,ale kiinua mgongo Cha Ile miaka kumi uliyomtumia
Mtoto ndo changamotoNyie wanawake vichwa vyenu sijui kuna nini!!... ivi unajua mtu anayesema kuvumilia wewe.. sikuzote ukiamua amua ila sio
Anajua nitamsikiliza sababu nina utuKosa uyo binti ni moja tuu kwenda af kurudi ukishafanya maamuzi jua kuna matokeo na matokeo unabidi kuyapikea na kuyakubali sa anarudi ili iweje!!! Inanyoesha hana commtiment sbabu anaeza rudia tena sbabau sisi binadamu tukiwa na shida hua tunaweka mikono nyuma mfano mzuri ni mtu akija kwa shida maranyingi ukimsadia af ukategemea malipo watakudissapoint hadi ukome so ayo maisha wanaitana apo kulisimualana na kuoneshana umo getto kwa mwanamke ni upumbavu yalishapita kitambo apo no feelings shld be attached ni kumsaidia kama binadamu mwingine yoyote afu apite ivi asimwangalie wala kumfatilia
Ndo akaenda kuzalishwa mpaka anaona aibu kuishi kwaoMiaka 10 ni mingi sana huenda aliona unazidi kumpotezea muda.
Kuona anaishi maisha ganiSasa lengo la wewe kuonana nae lilikua ni nini?
AhsantePoleni sana...