Anataka nimuoe, nahisi wameniunganisha naye

Sahivi hao wanawake wakikusalimia kwa kukwambia "mambo" We wajibu "mambo kwa yesu"

Wakikwambia wanakupenda we waulize "ni kweli mnanipenda au mnataka tu kunichezea mniache?" Wakijibu ni kweli wanakupenda we wajibu "mi najitunza hadi nikioa naogopa msiniharibie uvulana wangu"
 
Chai kama chai.
 
Muulize Mungu Na fatisha atakachokwambia
 
Haya bwanaaa
 
Omba Mungu, akufunulie kwa habari ya T kama alivyokufunulia kwa hao wasichana wengine. Kosea vyote ila usikosee kuoa, hivyo usikubali kushawishiwa na watu kuandamana na mtu ambaye moyo wako hauko kwake.
 
Utamtumikia MUNGU bila utambulisho wewe ni nani,,hata makanisa lazima yawe na utambulisho,ndiyo maana enzi za kale zilikuwepo Sinagogi,Mahekalu huo ni utambulisho ndugu,,utamwabudu vipi MUNGU katika Roho na kweli ili hali haupo sehemu sahihi?
Pole sana kwa kufungwa na imani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…