Mimi kuna dada mmoja nilitengeneza naye urafik nilipotaka kudaiv in akanimbia anamtu, nikakata urafiki gafla akanitafuta akaniambia sex utapata but na mtu, mi nilichukulia poaa kumbe anamsela wake na walikuwa wanapendana sijawai ona ,
Yule dada akawa teja kwangu kimapenzi lakin moyo wake wote upo kwa mtu wake ,nilifikia mahali nikamwambia ule mwanamke mi nimegundua weed unampenda Sana uyu mpenzi wako naomba nikuache muendelee alinisii Sana akaniambia nakupa kila kitu we shida yako nini? Of coz alinipa kila kitu except moyo wake ulikuwa kwa mpenzi wake huyo
Kwahiyo Yule dada tulimgawana mwili kwingine moyo kwingine,sasa kwangu sikukubaliana na hiyo level mahusiano nikasema nitavunja mahusiano yake na uyo msela wake,nikamwanikia msela wake kila kitu mahusiano Yao yakavunjika with painfull
Yule dada nilibaki naye but moyo wake bado ulibaki Kwa deadman, nikamshauri Sana nikamwa hii meli yangu ishaamua kung'oa nanga kama nakupa week mbili to think and decide,your men will not come back nikamwambia mimi ni mwanaume huyo hawezi rudi,baada ya week mbili aliamua kuback na deadmen ,nikang'oa nanga baada ya miaka mitatu alikuja nitafuta nimuoe kipindi icho nimekuwa cream kiasi kwamba kwangu akawa anajiona kama takataka nikamwambia Hilo halitokaa litokee aliondoka kwangu na maumivu makal sana.mpaka Leo Yule dada hajaolewa na Hana mwelekeo wowote.
Sasa kama unaamua kungia sehemu kama hiyo Fanya critical judgement sikuiz nikiona mwanamke haeleweki kidogo huwa napiga chin am 30s with good job gentlemen handsome no kid no what ni mtu wa kanisan na fellowship am living my own life very single.