karonga
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 681
- 1,128
Hata mimi namshangaa hao ndio wanawake wakutoooo....mhbaaNingekula mpaka basi
Yaani huyo ni wa kula tu no strings attached na unawaza
Wanaume tunapungua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi namshangaa hao ndio wanawake wakutoooo....mhbaaNingekula mpaka basi
Yaani huyo ni wa kula tu no strings attached na unawaza
Wanaume tunapungua
Anafeli sana kijana hapo mimi ningepiga kisirisiri hata sihadisii kama yeye napiga kimya najilia mema ya nchi, wanawake kama hao wako wache sana, kwa wingi utawakuta mbinguni[emoji16][emoji16][emoji16]Aisee kwenye miti hamna wajenzi. Sasa hiyo sii ndio full burudani mwanawane
Sasa si bora ukabe nyoka tuh utulie zako,maan hizo ni stress maana kuna mtu anapendwa lakin hana muda na hayo mamboEbana wandugu,
Kuna dada nimemtongoza akaniambia ni sawa amekubali lakini hataki mapenzi shatashata. Anasema kila mtu na mambo yake tuwepo kama hatupo.
Yaani kwa kifupi anasema hataki kupendwa nile mzigo tu basi.
We ungefanyaje mdau.
Wavue baba wavue....Mimi kuna dada mmoja nilitengeneza naye urafik nilipotaka kudaiv in akanimbia anamtu, nikakata urafiki gafla akanitafuta akaniambia sex utapata but na mtu, mi nilichukulia poaa kumbe anamsela wake na walikuwa wanapendana sijawai ona ,
Yule dada akawa teja kwangu kimapenzi lakin moyo wake wote upo kwa mtu wake ,nilifikia mahali nikamwambia ule mwanamke mi nimegundua weed unampenda Sana uyu mpenzi wako naomba nikuache muendelee alinisii Sana akaniambia nakupa kila kitu we shida yako nini? Of coz alinipa kila kitu except moyo wake ulikuwa kwa mpenzi wake huyo
Kwahiyo Yule dada tulimgawana mwili kwingine moyo kwingine,sasa kwangu sikukubaliana na hiyo level mahusiano nikasema nitavunja mahusiano yake na uyo msela wake,nikamwanikia msela wake kila kitu mahusiano Yao yakavunjika with painfull
Yule dada nilibaki naye but moyo wake bado ulibaki Kwa deadman, nikamshauri Sana nikamwa hii meli yangu ishaamua kung'oa nanga kama nakupa week mbili to think and decide,your men will not come back nikamwambia mimi ni mwanaume huyo hawezi rudi,baada ya week mbili aliamua kuback na deadmen ,nikang'oa nanga baada ya miaka mitatu alikuja nitafuta nimuoe kipindi icho nimekuwa cream kiasi kwamba kwangu akawa anajiona kama takataka nikamwambia Hilo halitokaa litokee aliondoka kwangu na maumivu makal sana.mpaka Leo Yule dada hajaolewa na Hana mwelekeo wowote.
Sasa kama unaamua kungia sehemu kama hiyo Fanya critical judgement sikuiz nikiona mwanamke haeleweki kidogo huwa napiga chin am 30s with good job gentlemen handsome no kid no what ni mtu wa kanisan na fellowship am living my own life very single.
😂😂😂Usikubali anataka achezee uvulana wako halafu akuache !!
Huyu nipe mimi ndio napenda aina hiyoEbana wandugu,
Kuna dada nimemtongoza akaniambia ni sawa amekubali lakini hataki mapenzi shatashata. Anasema kila mtu na mambo yake tuwepo kama hatupo.
Yaani kwa kifupi anasema hataki kupendwa nile mzigo tu basi.
We ungefanyaje mdau.