Anataka penzi la kisela

Anataka penzi la kisela

Aisee kwenye miti hamna wajenzi. Sasa hiyo sii ndio full burudani mwanawane
Anafeli sana kijana hapo mimi ningepiga kisirisiri hata sihadisii kama yeye napiga kimya najilia mema ya nchi, wanawake kama hao wako wache sana, kwa wingi utawakuta mbinguni[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ebana wandugu,

Kuna dada nimemtongoza akaniambia ni sawa amekubali lakini hataki mapenzi shatashata. Anasema kila mtu na mambo yake tuwepo kama hatupo.

Yaani kwa kifupi anasema hataki kupendwa nile mzigo tu basi.

We ungefanyaje mdau.
Sasa si bora ukabe nyoka tuh utulie zako,maan hizo ni stress maana kuna mtu anapendwa lakin hana muda na hayo mambo
 
Mimi kuna dada mmoja nilitengeneza naye urafik nilipotaka kudaiv in akanimbia anamtu, nikakata urafiki gafla akanitafuta akaniambia sex utapata lakin nina mtu, mi nilichukulia poaa kumbe anamsela wake na walikuwa wanapendana sijawai ona ,

Yule dada akawa teja kwangu kimapenzi lakin moyo wake wote upo kwa mtu wake ,nilifikia mahali nikamwambia ule mwanamke mi nimegundua wee unampenda Sana uyu mpenzi wako naomba nikuache muendelee, alinisii Sana akaniambia nakupa kila kitu we shida yako nini? Of coz alinipa kila kitu including money except moyo wake ulikuwa kwa mpenzi wake huyo.

Kwahiyo Yule dada tulimgawana mwili kwingine moyo kwingine,sasa kwangu sikukubaliana na hiyo level mahusiano nikasema nitavunja mahusiano yake na uyo msela wake na atakua Hana pakwenda atabaki na mimi,nikamwanikia msela wake kila kitu mahusiano Yao yakavunjika with painfull

Yule dada nilibaki naye but moyo wake bado ulibaki Kwa deadman, nikamshauri Sana nikamwambia hii meli yangu ishaamua kung'oa nanga, unamaamuzi nakupa week mbili to think and decide,your men will not come back nikamwambia mimi ni mwanaume najua wanaume tulivyo huyo kwa kilochotokea hawezi rudi,baada ya week mbili aliamua kuback na deadmen ,nikang'oa nanga rasmi baada ya miaka mitatu alikuja nitafuta nimuoe kipindi icho nimekuwa cream kiasi kwamba kwangu akawa anajiona kama takataka nikamwambia Hilo halitokaa litokee aliondoka kwangu na maumivu makal sana.imepita miaka almost 10 Yule dada hajaolewa na Hana mwelekeo wowote wa kimaisha,

Sasa kama unaamua kungia sehemu kama hiyo Fanya critical judgement sikuiz nikiona mwanamke haeleweki kidogo huwa napiga chin am 30s with good job gentlemen handsome no kid no what ni mtu wa kanisan na fellowship am living my own life very single.
 
Kama umempenda kuwa naye huenda ukampa treatment nzuri akabadilika
Kiukweli siku hizi mapenzi hamna na mioyo imechokaaaa kiasi kwamba mtu anakuwa mkweli tu ili mambo yasiwe mengi
 
Mimi kuna dada mmoja nilitengeneza naye urafik nilipotaka kudaiv in akanimbia anamtu, nikakata urafiki gafla akanitafuta akaniambia sex utapata but na mtu, mi nilichukulia poaa kumbe anamsela wake na walikuwa wanapendana sijawai ona ,

Yule dada akawa teja kwangu kimapenzi lakin moyo wake wote upo kwa mtu wake ,nilifikia mahali nikamwambia ule mwanamke mi nimegundua weed unampenda Sana uyu mpenzi wako naomba nikuache muendelee alinisii Sana akaniambia nakupa kila kitu we shida yako nini? Of coz alinipa kila kitu except moyo wake ulikuwa kwa mpenzi wake huyo

Kwahiyo Yule dada tulimgawana mwili kwingine moyo kwingine,sasa kwangu sikukubaliana na hiyo level mahusiano nikasema nitavunja mahusiano yake na uyo msela wake,nikamwanikia msela wake kila kitu mahusiano Yao yakavunjika with painfull

Yule dada nilibaki naye but moyo wake bado ulibaki Kwa deadman, nikamshauri Sana nikamwa hii meli yangu ishaamua kung'oa nanga kama nakupa week mbili to think and decide,your men will not come back nikamwambia mimi ni mwanaume huyo hawezi rudi,baada ya week mbili aliamua kuback na deadmen ,nikang'oa nanga baada ya miaka mitatu alikuja nitafuta nimuoe kipindi icho nimekuwa cream kiasi kwamba kwangu akawa anajiona kama takataka nikamwambia Hilo halitokaa litokee aliondoka kwangu na maumivu makal sana.mpaka Leo Yule dada hajaolewa na Hana mwelekeo wowote.

Sasa kama unaamua kungia sehemu kama hiyo Fanya critical judgement sikuiz nikiona mwanamke haeleweki kidogo huwa napiga chin am 30s with good job gentlemen handsome no kid no what ni mtu wa kanisan na fellowship am living my own life very single.
Wavue baba wavue....
 
Ebana wandugu,

Kuna dada nimemtongoza akaniambia ni sawa amekubali lakini hataki mapenzi shatashata. Anasema kila mtu na mambo yake tuwepo kama hatupo.

Yaani kwa kifupi anasema hataki kupendwa nile mzigo tu basi.

We ungefanyaje mdau.
Huyu nipe mimi ndio napenda aina hiyo
 
Back
Top Bottom