Anataka tuachane na tayari nimekwishalipa mahari kwao na mipango ya ndoa ipo

Pole sana mkuu najua inauma lakini mshukuru Mungu uwezi kujua amekuepusha na nini.
 
Betri limechomolewa watu wakiwa wamemaliza kuchota Petroli...

Sasa geuka nyuma na dumu lako kachote kilichobaki.Utawaka kama wale wa Morogoro.

Pita kushoto muda ni mchache,,wanawake wapo wakali kinyana nenda Hanang hapo.
 
Katoe sadaka ya shukurani then move on kwa maumivu makubwa... ila dai mahari yako.
Bora kupoteza miaka mitano kuliko kuishi maisha yako yote na hekaheka, imagine kama umepangiwa kufa 70+ huko... huoni hiyo ni 40 yrs za machungu?
 
Pole sana
Usihuzunike sana bali mshukuru Mungu kakuepushia mabalaa
Kuingia na mtu kama huyo kwenye ndoa ni hatari kwa afya yako ya rohoni na mwilini
 
Miaka mitano yote hukumzawadia mimba!! Una shida ya uzazi?

Hiyo tu ni ishara haukuwa kwenye mipango yake labda awe na shida ya uzazi.

Kujihakikishia koloni,angeshakuzalia mtoto.
 
ACHANA NAYE.
ATAKUPIGA TUKIO.
PIGA CHINI.
KIMBIA
 
Mkuu shukuru Mungu imekuwa hivyo mapema! Kadai mahari yako wakurudishie utafute wa size yako! Hiyo takataka itakusumbua sana!
 
Ningekua wewe siku Ameanda kwa bibi na akaanza kuleta rangi rangi basi mahusiano yalikua yanaishia hapo.

Hala hizo safari zote hajafanya huyo alienda kwa kijeba chake ndio maana sababu za kijinga za ubusy ukapewa.

Na hizo nauli ulizo kuwa unatuma ndio walikua wanakula huku wamejifungia ndani wananyanduana tu na wewe unatuma hela za matumizi.

Demu wako kanyanduliwa hadi kasahau ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu Huwa mnanichekesha sana nyie!

Unaishi ndoa pika pakua halafu una stress za kufunga ndoa!!

Yaani unafanya ndoa tayari halafu unawaza kufunga doa ambayo tayari unaiishi!!!

Wewe ungeendelea kumzalisha huku ukiona msimamo wake!unahofu ya nini!!?
Wakoloni brother, wametubrainwash sana. Kiasi watu wanaamini et ndoa ni kuapa kwa the so called pasta ndio iitwe ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…