Anataka tuachane na tayari nimekwishalipa mahari kwao na mipango ya ndoa ipo

Daaaaahh
Sasa mwanamke akisema it's over huyo si ndio mzuri kumnyoosha.
Ushauri: Mwandikie sms ya kukubali ombi lake la kuachana rasmi.
Then mblock kila mahali usipate kuna sms yake yoyote, hata picha yake usiione popote.
Funga ndoa simple ndani ya miezi 2 tu kuanzia leo , wanawake wako mamilioni duniani.
Baada ya miaka miwili tu atachanganyikiwa na maisha yake kuvurugiga.
Sahihi kabisa. Asibembeleze kabisa, ila mahari aliyo toa ana haki ya kurudishiwa ashirikishe wazee
 
Ushachapiwa mkuu. Kubaliana na msimamo wake la sivyo utateseka sana
 
Hello wanajamvi

Mimi ni kijana wa miaka 30, ninaishi mkoa x kikazi.. nimekuwa na mahusiano na mwanamke kwa muda wa miaka 5 tumekuwa tukiishi pamoja, mwaka jana nilikwenda kwao na kutoa mahari.

Mwezi uliopita niliomba likizo moja ya vitu tulivyotarajia kuvifanya kipindi hicho cha likizo ni pamoja na kurudi nyumbani mkoa Y kwa ajili ya kusalimia wazazi na kuweka mipango ya ndoa.
Baada ya kulifikisha swala hili kwa mpenzi wangu yeye aliniomba kuwa aende mara moja kwao mkoa Z kumsalimia bibi yake then baada kama ya siku kama 3 atarudi kuungana na mimi.

Nilimpa ushirikiano wote katika safari yake hiyo pamoja na kufanya shopping, na kumlipia nauli, na kuwa na mipango mingi ya kufanya baada ya yeye kurudi na kuungana na mimi.

Cha kushangaza baada tu ya kufika kwao tu nikaanza kunotice hata pattern ya mawasiliano yamebadilika, hanijulii hali, nikimpigia simu anadai yupo busy. Nikimuuliza atarudi lini hanipi majibu ya uhakika.

Baada ya siku kama nne akanipigia simu kuwa anataka kurudi ila atapitia mkoa T kwa rafiki yake ninayemfahamu before kuja kuungana na mimi na kuniomba nimtumie nauli nikafanya hivyo.

Siku ninayotarajia kuwa atakuwa safarini anakuja kuungana na mimi akanitumia sms kuwa anaumwa sana, baadaye akaniambia kuwa amekosa magari ya kuja huku nilipo, ukimpigia simu hapokei lakini wakati wa jioni nikampata kwenye simu katika kumuuliza kuwa anaendeleaje ana mpango gani na hiyo safari akaniambia kuwa kuna ujumbe amenitumia kwenye simu.. kucheki ule ujumbe alikuwa ameandika kuwa anaona ni wakati umefika wa kumaliza mahusiano yetu.

Hivi sasa hapa nyumbani walikuwa wanamsubiria kwa ajili ya kudiscuss naye kuhusu swala la ndoa na tayari nimekwishalipa mahari kwao.

Hapa nipo kwenye dilema sijui la kufanya nimezungumza na mama yake na yeye anashangaa anajaribu kuwasiliana naye ila hapokei simu zake.

Huyu mpenzi wangu sijawahi kuwa na ugomvi wowote mkubwa tumekuwa tukiishi vizuri tu.

Shukuru Mungu, atakupigia magoti
 
A

Achana nae tafta mwingine.
 
Pole sana kwa hayo ila Pia mshukuru sana Mungu amekuepusha na hilo janga hali ingekuwa mbaya zaidi huko kqenye ndoa
 
Huyo ni mzuri amekuonea huruma mapema anyway in Short BABY YAKO ANA BEBY YAKE
 
Hello wanajamvi

Mimi ni kijana wa miaka 30, ninaishi mkoa x kikazi.. nimekuwa na mahusiano na mwanamke kwa muda wa miaka 5 tumekuwa tukiishi pamoja, mwaka jana nilikwenda kwao na kutoa mahari.

Mwezi uliopita niliomba likizo moja ya vitu tulivyotarajia kuvifanya kipindi hicho cha likizo ni pamoja na kurudi nyumbani mkoa Y kwa ajili ya kusalimia wazazi na kuweka mipango ya ndoa.
Baada ya kulifikisha swala hili kwa mpenzi wangu yeye aliniomba kuwa aende mara moja kwao mkoa Z kumsalimia bibi yake then baada kama ya siku kama 3 atarudi kuungana na mimi.

Nilimpa ushirikiano wote katika safari yake hiyo pamoja na kufanya shopping, na kumlipia nauli, na kuwa na mipango mingi ya kufanya baada ya yeye kurudi na kuungana na mimi.

Cha kushangaza baada tu ya kufika kwao tu nikaanza kunotice hata pattern ya mawasiliano yamebadilika, hanijulii hali, nikimpigia simu anadai yupo busy. Nikimuuliza atarudi lini hanipi majibu ya uhakika.

Baada ya siku kama nne akanipigia simu kuwa anataka kurudi ila atapitia mkoa T kwa rafiki yake ninayemfahamu before kuja kuungana na mimi na kuniomba nimtumie nauli nikafanya hivyo.

Siku ninayotarajia kuwa atakuwa safarini anakuja kuungana na mimi akanitumia sms kuwa anaumwa sana, baadaye akaniambia kuwa amekosa magari ya kuja huku nilipo, ukimpigia simu hapokei lakini wakati wa jioni nikampata kwenye simu katika kumuuliza kuwa anaendeleaje ana mpango gani na hiyo safari akaniambia kuwa kuna ujumbe amenitumia kwenye simu.. kucheki ule ujumbe alikuwa ameandika kuwa anaona ni wakati umefika wa kumaliza mahusiano yetu.

Hivi sasa hapa nyumbani walikuwa wanamsubiria kwa ajili ya kudiscuss naye kuhusu swala la ndoa na tayari nimekwishalipa mahari kwao.

Hapa nipo kwenye dilema sijui la kufanya nimezungumza na mama yake na yeye anashangaa anajaribu kuwasiliana naye ila hapokei simu zake.

Huyu mpenzi wangu sijawahi kuwa na ugomvi wowote mkubwa tumekuwa tukiishi vizuri tu.
Yuko kwa bwana wake wewe alikuwa nakuchuna tu.
Songa mbele kubali ukweli usiendelee kumng'ang'ania
 
Waambie wakurudishie mahali yako ata bro wangu ilishawai kumkuta kama hii inshu mwisho mdada alipowekeza hisia zake napo kulikua na mwenyew mwisho aliamua kujiua kukwepa aibu
 
Wewe umia sana ila shukuru Mungu umeachwa wakati sahihi. Ungeoa halafu ukaachwa ungeua au kujidhuru. Kadai chako utafute namna ya kusahau. Kadai chako halafu ujue siyo kweli kwamba mama yake hajui.
Swali kwanini unaongea na mama yake baba yake yuko wapi?
 
Shukuru Mungu umeujua ukweli mapema na shukuru kwa hilo yule wako atakufikia
 
Mkuu Kanuni ya Kuishi na Hawa Viumbe Ni Kuishi Nao Kwa Akili Akupende Kwanza Yeye Ndio Uwekeze Vingine Sasa Wewe Umeshika Visenti Ukafikiri Ndio Utamtuliza. Pole yako
 
Back
Top Bottom