Anataka tuachane na tayari nimekwishalipa mahari kwao na mipango ya ndoa ipo

Chukua pesa yako kaka, fanya mambo mengine, usifatilie sana kujua kilicho nyuma ya pazia, utaendelea kuumia.
 
Kila siku tunawaambia wanawake ni matapeli kwenye ndoa hamsikii ona sasa yanayowakuta. Shukuru Mungu hilo tapeli limeondoka endelea na mambo mengine
KATAA NDOA
 
Hebu rudia Tena huu ushauri wako??

#YNWA
 
Huyu mpenzi wangu sijawahi kuwa na ugomvi wowote mkubwa tumekuwa tukiishi vizuri tu.
Sawa ugomvi naevhuna ila kuna mtu anaishi nae vizuri zaidi yako.

Achana nae ktk hatua hii. Mungu kakuokoa na hatari, huyo sio mke wako.

Achana nae
 
Mwanangu wa kiume akifika darasa la saba tu, namtafutia demu, apigwe na matukio mpaka dishi lake likamate chaneli.

SHENZI KABISA .


Na akiwa wa kike nisipomuozesha before 26 , namfukuza akadangie mbele huko.

SHENZI KABISA.
 
Pole sana kiongozi, inaonesha pia ulikuwa unampenda sana huyo binti. Inaumiza sana, kuna wakati unaweza hisi kama umepoteza kila kitu au labda huna thaman.

Sivyo. Haya mambo yanatokea sio kwako tu. Msahau, japo ni ngumu lakini jitahidi
🤤
 
Hakikisha anatoa taarifa kwa wazazi wake na wanarudisha mahari yote. Endelea na mambo mengine
 
Watu Huwa mnanichekesha sana nyie!

Unaishi ndoa pika pakua halafu una stress za kufunga ndoa!!

Yaani unafanya ndoa tayari halafu unawaza kufunga doa ambayo tayari unaiishi!!!

Wewe ungeendelea kumzalisha huku ukiona msimamo wake!unahofu ya nini!!?
Nahisi hakuna mtoto hapa, yaani miaka 5 hakuna kutema mate hilo ni tatizo la mwanaume.
Ni haki kuachwa kabisaaa, yaani miaka 5 hakuna MIMBA. Huyo mwanamke kaona mbali
 
Blaza warudishe mahari..wakomalie warudishe mahari,wakizingua niambie nije kukusaidia kuidai
 
Kubaliana na uamuzi wake japo ni ngumu ila jipe moyo endelea na maisha yako wajulishe wazazi wako usiwe muoga waambie ukweli kilichotokea kuhusu ww na mpenz wako maisha yapo ni kila kinachofanyika kwa binadamu kila malipo yake ww ni mtoto wa kiume jipe ujasiri songa mbele
 
Si chukua mahari uondoke mbona hili halikuhitaji hata uje mtandaoni
Kama ulishapiga hakuna shida hata mahari unaweza kuacha ukaendelea na maisha
NB
Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi
 
Huyobku issue alikua anaisikiizia na bado anaisikilizia
 
Mkuu pole lkn hilo lisikupe shida lipokee kwa mikono yote miwili na wew uwe seriously katk kumuach

Mtumie Nguo zake na vyombo na kam umepangasha hamia mtaa 2/3
 
Achana nae mkuu. Futa tafuta mke mwingine... wewe lazima utaoa tuu ila kwake kuolewa ninneema tu....
Mungu amekuepusha Amini hivyo mobe on
 
Mitano ni mingi mno. Kama ni mke ni mke tu hata kwa siku moja utamjua tu kuwa ni mke bora
 
Mjomba uyo mkoa ex alienda kwa mume wa ndoto zake akaliwa weee pamoja na mipango kibao uko, alivuotoka uko akaenda mkoa z sijui kwa shoga ake kupata ushauri ndo maana katoa conklushioni sasa we fosi yatakutokea puani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…