Anataka tuachane na tayari nimekwishalipa mahari kwao na mipango ya ndoa ipo

Kulipa mahari ili kuoa mke ni biashara ya utumwa.

Matatizo yake ndiyo kama haya, suala la mapenzi, ndoa, kujenga familia, linakuwa biashara ya utumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…