philantrhopist
JF-Expert Member
- Jun 18, 2023
- 415
- 706
point to noteKama ni mkristo, hapo hakuna ndoa.
Pia unaruhusiwa kumdai all maintenance ulizokuwa unamfanyia kwa sababu amekuingiza hasara kwa makusudi.
Hasara ya muda
Kisaikolojia
Kiuchumi
Kimsingi huyo ni muuaji na Mungu kakuepusha.
shida inaanzia hapa, kwa ubebe mikosi na manuksi, kugongana kuna miroho michafu inayoweza kukuvurugia maisha yako.Huu ni uchafuzi wa viungo vya mwili sasa.Tulia fanya mambo yako ya msingi
hahahahaKwa sasa sio mpenzi wako
hahahahaKwa sasa sio mpenzi wako
inauma kwa kweliMshukuru sana Mungu kwa hicho mkeo mtarajiwa alichoonesha kabla hamjafika mbali zaidi, mahari uliyotoa sioni hasara kama hasara ambayo ungeipata kuishi na mwanamke asiyekupenda siku zote za maisha yako
hata wasipompa hakuna shida, kitu ambacho unaweza kutafuta na kupata tena kisikutie stressBaada ushukuru na ufurahi ila lazima warudishe pesa iyo yani waitapike yote sio kwa awamu hakuna kucheka na nyani.
hahahahaJamaa ni mazuu .... hayo tunaita matatizo ya mpumbavu ....ni sawa sawa na zile familia zinazo jali makaburi kuliko maendeleo...wapo tayari kutumia mamilioni kujengea makaburi wakati wao na watoto wao wanaishi kwenye mabanda ya kuku.
factShukuru Mungu amejionyesha mapema hakutaki kabla ya kufunga naye ndoa, ijapokuwa kakupotezea muda.
Bora kupoteza muda kuliko rangi ambazo usingeacha kuziona kwenye ndoa
Mahari sio ishu
point to noteHii imeendaa [emoji23][emoji23][emoji23] hao viumbe ni matapeli hawana mfano. Kikubwa we jua tu kuwa imeisha hio na huko aliko kwa bibi ni kwa mume mwenzio!
uliyempenda ana mwingine naye mwingine kapendwa na mwingine, mkuu move on huyo demu siyo wako ukiforce utakuja kupigwa na kitu kizito sana,Hello wanajamvi
Mimi ni kijana wa miaka 30, ninaishi mkoa x kikazi.. nimekuwa na mahusiano na mwanamke kwa muda wa miaka 5 tumekuwa tukiishi pamoja, mwaka jana nilikwenda kwao na kutoa mahari.
Mwezi uliopita niliomba likizo moja ya vitu tulivyotarajia kuvifanya kipindi hicho cha likizo ni pamoja na kurudi nyumbani mkoa Y kwa ajili ya kusalimia wazazi na kuweka mipango ya ndoa.
Baada ya kulifikisha swala hili kwa mpenzi wangu yeye aliniomba kuwa aende mara moja kwao mkoa Z kumsalimia bibi yake then baada kama ya siku kama 3 atarudi kuungana na mimi.
Nilimpa ushirikiano wote katika safari yake hiyo pamoja na kufanya shopping, na kumlipia nauli, na kuwa na mipango mingi ya kufanya baada ya yeye kurudi na kuungana na mimi.
Cha kushangaza baada tu ya kufika kwao tu nikaanza kunotice hata pattern ya mawasiliano yamebadilika, hanijulii hali, nikimpigia simu anadai yupo busy. Nikimuuliza atarudi lini hanipi majibu ya uhakika.
Baada ya siku kama nne akanipigia simu kuwa anataka kurudi ila atapitia mkoa T kwa rafiki yake ninayemfahamu before kuja kuungana na mimi na kuniomba nimtumie nauli nikafanya hivyo.
Siku ninayotarajia kuwa atakuwa safarini anakuja kuungana na mimi akanitumia sms kuwa anaumwa sana, baadaye akaniambia kuwa amekosa magari ya kuja huku nilipo, ukimpigia simu hapokei lakini wakati wa jioni nikampata kwenye simu katika kumuuliza kuwa anaendeleaje ana mpango gani na hiyo safari akaniambia kuwa kuna ujumbe amenitumia kwenye simu.. kucheki ule ujumbe alikuwa ameandika kuwa anaona ni wakati umefika wa kumaliza mahusiano yetu.
Hivi sasa hapa nyumbani walikuwa wanamsubiria kwa ajili ya kudiscuss naye kuhusu swala la ndoa na tayari nimekwishalipa mahari kwao.
Hapa nipo kwenye dilema sijui la kufanya nimezungumza na mama yake na yeye anashangaa anajaribu kuwasiliana naye ila hapokei simu zake.
Huyu mpenzi wangu sijawahi kuwa na ugomvi wowote mkubwa tumekuwa tukiishi vizuri tu.
Anawaza mahari yake.Mkoa X
Mkoa Y
Mkoa T
Mkoa Z
Mkoa D
Mkoa H
Mkoa P
Mkoa .....
Hata hivyo, ukiachwa Achika mkuu. Usilazimishe mapenzi utajuta baadae
[emoji2296][emoji2296][emoji2296]Mtoa mada anatumia moyo kufikiri nyie mnatumia ubongo kumjibu....haya nipo palee nawazoom tu
tumemfata djWe misomisondo umepigaje hapo?
[emoji2296][emoji2296][emoji2296]Mtoa mada anatumia moyo kufikiri nyie mnatumia ubongo kumjibu....haya nipo palee nawazoom tu
Kibaya zaidi akimuacha na muhuni naye atamuachaHii imeendaa 😂😂😂 hao viumbe ni matapeli hawana mfano. Kikubwa we jua tu kuwa imeisha hio na huko aliko kwa bibi ni kwa mume mwenzio!
Uchumba huwa hausuluhishwi hata kidogoMkuu pole sana! Kuna watu ni wakatiri sana aiseee…Mkuu achana nae kabisa kata mawasiliano naye na usikubali kabisa kusuluhishwa na mtu yeyote kabisa kamwe usikubali huyo mwanamke hakupendi na hakutaki kabisa!
Ila wanawake muda mwingine unaweza usiwaelewe kabisa unaweza kuta anadanganywa na kajamaa wala hakato muoa kabisa na akana mpango kabisa!
Kitakachofata hapo ni wewe kusumbuliwa na huyo binti na watu ili msuluhishwe..kamwe usikubali kuwa na suluhu na mtu aliyekukataaa kwenye hiyo hatua …..usikubali suluhu hiyo kamwe kamwe…tafuta mwanamke mwingine oa huyo achana nae kabisa wala usikubali kukaa kikao nae….