Anataka turudiane, nimemwambia sina muda mchafu

Ningekuelewa zaidi kama ungeongelea kukuacha na kutaka kukurudia tu... HII HABARI YA KUOYESHA FURAHA WAKATI WENZIO WAPO MATATIZONI, ni kwamba huna tofauti na mchawi kasoro tu PENGINE wewe huna vitendea kazi...

NASISITIZA MATUMIZI YA NENO PENGINE
Acha waisome namba mkuu

Mliitaka wenyeweeee
Chaguo lenu wenyeweee
Acha waisome nambaeee
Waisome nambaaa
Ccm mbele kwa mbeleeee
Ccm mbele kwa mbeleee
Achen waandamane eeeeh
Waandane ccm mbele kwa mbeleeeeeeeeeeee (in komba voce)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…