Bacyclerbacy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,744
- 3,020
AhsanteeeeNdo hivo momy mambo yaliyumba kidogo akajua kuteleza ni kuanguka kumbe siyo
Mambo kwa sasa yako safi ile mbaya
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhsanteeeeNdo hivo momy mambo yaliyumba kidogo akajua kuteleza ni kuanguka kumbe siyo
Mambo kwa sasa yako safi ile mbaya
tena haina sukariChai
[emoji39] [emoji39]Uuuuwiiii[emoji8] [emoji8]
Nakuona mdogo wangu ujue. [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha waisome namba mkuuNingekuelewa zaidi kama ungeongelea kukuacha na kutaka kukurudia tu... HII HABARI YA KUOYESHA FURAHA WAKATI WENZIO WAPO MATATIZONI, ni kwamba huna tofauti na mchawi kasoro tu PENGINE wewe huna vitendea kazi...
NASISITIZA MATUMIZI YA NENO PENGINE
Ndyo askari wanguDuh askar wangu ndo shem nini
Nilikuwa naangalia fursa dada Ila bac ngoja tu nipiteNakuona mdogo wangu ujue. [emoji23]
Sio uanze kuzunguka mbuyu sasaAhaaa ndo maana bas barida askar wangu
Pita tu mdogo wangu mana usije ukaharibu shughuli buuree. [emoji23] [emoji23]Nilikuwa naangalia fursa dada Ila bac ngoja tu nipite
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umejuaje momy milango iko waz bisha hod na utafunguliwa
UmeonaeeeeehPita tu mdogo wangu mana usije ukaharibu shughuli buuree. [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa. Kabisa yaani.Umeonaeeeeeh